Erickb52
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 18,559
- 11,496
Kiwowowo tu sina jinginewhere is binti kichumvi?
Kiwowowo tu sina jinginewhere is binti kichumvi?
Bora wangemtaja mamndenyi kila wakati yupo safi sana!
ha ha haaaa kapistrano unamfagilia rafiki yako siyo?
karibu upate soda huku kwenye kijiwe changu cha mama ntilie.
Lile neno giraffe linaniogopesha sana hahahahah upo poa lakini!
ha ha haaaa kapistrano unamfagilia rafiki yako siyo?
karibu upate soda huku kwenye kijiwe changu cha mama ntilie.
Mshahara ule nao bata itakula kwako mazima kuna pesa za zaida hizo ndizo za matumizi ya hovyo hovyo mshahara unauma sana hasa ukiutumia hovyo!
Namaliza kreti moja la soda peke yangu zipo za kutosha?
vivian tumeshamzoea yeye kila siku ya ijumaa lazima atoe wishes for wk end haijalishi ni mwisho wa mwenzi au la sema leo alijaribu kuonesha msisitizo kwa marafiki zake aliowataja hapo juu.kweli rafiki,
angalia mtoto mrembo kama vivian anatafuta mtoko watu wako kimya na mwisho wa mwezi huu wote, kweli mshahara hautoshi; au ndo huo upungufu wa nguvu?
For my kids ulijuaje tena huwa wanasumbua about drinking and I'm suppose to keep budget to them every week usipo fanya hivyo dada yao atakoma full kusumbua!soda??? hiyo kitu kidogo sana hata ukitaka za kwenda nazo kwa wanao zipo tu, karibu.
vivian tumeshamzoea yeye kila siku ya ijumaa lazima atoe wishes for wk end haijalishi ni mwisho wa mwenzi au la sema leo alijaribu kuonesha msisitizo kwa marafiki zake aliowataja hapo juu.
For my kids ulijuaje tena huwa wanasumbua about drinking and I'm suppose to keep budget to them every week usipo fanya hivyo dada yao atakoma full kusumbua!
inabidi aangalie upepo unakoelekea
anawacha akina kapistrano wenye hela zao anahangaika na akina manoah.
Manoah yupo akija utaona povu litakavyo mtoka ni balaa!
Usihofu akileta noma dawa yake ni PM!na hilo noma lake ni balaa
tena alishanitoaga huyu dogo akanitumia
m-pesa,
akija nitaomba msamaha.
inabidi aangalie upepo unakoelekea
anawacha akina kapistrano wenye hela zao anahangaika na akina manoah.
sore
nakupenda, umesikia eeh.