JOANNA
Member
- Nov 1, 2010
- 42
- 28
Mimi ni mgeni JF!!Naikubali sana JF sababu ya vichwa makini!!Ni zaidi ya great thinkers!!Critical thinkers!!!Wanaangalia mambo kwa namna ya ajabu!!navutiwa sana na hili jamvi sbb sipishani sana na mitazamo ya wengi jamvini!!nimeona si vyema kuwa mgeni kila wakati!!Nilivutiwa sana na analysis ya uchaguzi iliyokuwa inaendelea na ndio chanzo cha mimi kujikuta ndani ya jengo hili.Naombeni mnipokee niwe part ya familia hii!!
Am proud of you all!!!
Am proud of you all!!!