Naomba mnipokee

MR TOXIC

Member
Jun 4, 2019
72
125
Hello mabibi na mabwana wa JF ni imani yangu nyote mu-wazima wa afya tele. Pia nipende kuwapa pole kwa pilika pilika za hapa na pale za kutafuta riziki ili mkono upate kwenda kinywani katika awamu hii ya serikali ya wanyonge na sikivu.

Binafsi Namshukuru mwenyezi Mungu kwa kunipa pumzi ya uzima mpaka naandika thread hii nikiwa timamu kiafya na kiakili.

Ndugu zangu wana JF mimi ni mgeni japo ni mgeni mwenyeji maana ni muda sana nimekuwa nikidhuru hapa jamvini kama mgeni(guest) tangu 2015 kwa lengo la kupata habari na kujifunza mambo mbali mbali yanayokuwa yakijadiliwa humu. Binafsi JF imekuwa ya msaada mkubwa sana kwangu kwani imenisaidia kujifunza na kupata uelewa wa mambo mengi kiasi kwamba nikisema niyaorodheshe hapa inaweza kunichukua muda wa miezi miwili kuyamaliza. Kutokana na sababu hizo basi badala ya kudhuru hapa kama mgeni leo hii nimeonelea nijisajili kama verified member ili niungane na nyie kama mwana familia wa JF hivyo basi kama kichwa cha habari hapo juu kinavyojieleza Naomba mnipokee.

Natanguliza shukrani pia naamini mapokezi yangu yatakuwa ya kipekee. Akhsanteni
 
Ulimakafu

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
22,878
2,000

POWAAAAAAAAAAA............
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom