Wapendwa JF naombeni mnipokee

JOANNA

Member
Nov 1, 2010
42
28
Mimi ni mgeni JF!!Naikubali sana JF sababu ya vichwa makini!!Ni zaidi ya great thinkers!!Critical thinkers!!!Wanaangalia mambo kwa namna ya ajabu!!navutiwa sana na hili jamvi sbb sipishani sana na mitazamo ya wengi jamvini!!nimeona si vyema kuwa mgeni kila wakati!!Nilivutiwa sana na analysis ya uchaguzi iliyokuwa inaendelea na ndio chanzo cha mimi kujikuta ndani ya jengo hili.Naombeni mnipokee niwe part ya familia hii!!
Am proud of you all!!!
 
welcome Joanna......jisikie huru kabisa katika jamvi hili.....watu ni wakarimu na wapole....karibu sana
 
Mimi ni mgeni JF!!Naikubali sana JF sababu ya vichwa makini!!Ni zaidi ya great thinkers!!Critical thinkers!!!Wanaangalia mambo kwa namna ya ajabu!!navutiwa sana na hili jamvi sbb sipishani sana na mitazamo ya wengi jamvini!!nimeona si vyema kuwa mgeni kila wakati!!Nilivutiwa sana na analysis ya uchaguzi iliyokuwa inaendelea na ndio chanzo cha mimi kujikuta ndani ya jengo hili.Naombeni mnipokee niwe part ya familia hii!!
Am proud of you all!!!

WELCUM JOANNA MPAKA CHUMBANI:spit:

MCHANGO WAKO MUHIMU SANa:A S 109::hug::welcome:
 
Joana, mie pia ndi nnina wiki moja tu jamvini.

Wazee wenyewe ni kazi yao, bila shaka watakukaribisha na kukupa maelekezo sahihi kama ambavyo walivyokwishaanza hapo juu. Mimi zaidi tu ya kukushukuru kwa kuingia kwa watu kiungwana, sina lingine zaidi ya kukuambia upite pale Jengo la 'Jamii Forum Complex' na ukimkuta Mzee moja anaitwa Invisible atakupa ORIENTATION zote.

Wako pale makutano ya mitaa ya UFISADI ADUI YANGU na MAJUNGU SIPENDI, utapaona tu. Nisingekua na mishughuli ningekupeleka mguu kwa mguu tu.
 
Karibu mpaka ndaniiiii, ila namalizia oparation kuondoa saratani za mafisadi maana wanatakiwa wakajibu tuhuma mahakamani nikimaliza takujoin tuzungumze.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom