Huyu ndio raisi wa wabeba box....mhh..
wenzeni Kenya wamecontribute $3 billion kwa the past 5 years.....kijana unajua uchumi kweli? kujenga maghorofa mbezi beach ndio mnaona ni bonge la contribution kwenye kukuza kanchi haka kadogo? ama kweli raisi....
Kuna wakenya zaidi ya 500K marekani peke yake.
Wabongo US hatufiki hata 30K.
Kuna more than 4 million Kenyans in diaspora. Wabongo hatuzidi hata 300K in diaspora!
Sasa hebu do the math!!
Nahitaji sifa zifuatazo kwa mbeba boxi huyo;
Mweusi,Mfupi,baunsa,mikono shupavu...anaenukia jasho la kazi..awe na afro ili nipate kuhesabu nywele zake akiwa anataka kupata usingizi...