Muda mwingi katikati ya wiki lunch yangu ni dona na mboga tofauti isipokuwa jmosi na jpili tu. Sili ugali usiku, sipendi coz sitaki kulala tumbo likiwa limejaa.

Wakuu mnazungumzia ugali hiki hiki chakula ama? Maana vijana siku hizi mna maneno sana.....Nisije kutiririka hapa kumbe wenzangu mnazungumzia mengine kabisa