Kwa kweli mimi nikinyimwa ndizi nitahama nchi kabisaaa...ugali sijui mara ya mwisho nilikula lini...Mimi huwa nashangaa sana ninapoona mtu anaagiza ugali restaurant.Anyway kweli tupo tofauti hongereni wadau wa ugali mimi ndizi ndo sawa na ww unavyopenda kitu cha 'nguna'
Ugali hauna ladha,hauwez kuupika kwa ufundi tofauti ndio maana sio mtamu ila kitu ubwaubwa aisee unaweza upika kwa aina kumi na saba tofauti na ukaomba uongezewe,,