Wapemba bwana hahaaaaaa

Kuna jamaa huwa nasikia wao kuchepuka kula vya wake za watu sawa ila wao wake zao nasikia ni strictly kuliwa hawataki hata kusisikia nini kuona

Wanaume wakipemba wengine wanavisasi vya ajabu sana!

Hata akiachana na mwanamke atahakikisha anamharibia huko aendako , sasa unajiuliza kwanini yote hayo?

Nazani wanatakiwa kupata mafundisho ya kisaikolojia


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila kweli likiwa linakuja...hamna kungojana unatangulia tu...tutakutana bandarini
 
Mimi huwa namwambia unaambiwa ukazane we upo nyuma nyuma..ndo nishakuacha hivyo...ngoja safar nyingine tena
 
Swali; ..Muungano mwautakhaa!!!??

Jibu;... Twautakhaa shekheee!!!

Kiitikio; .Basi enshalaaa!....hivo hivo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom