Kuupata UKIMWI ni Ngumu SANA!!!!!

Fakyuol

Senior Member
Nov 26, 2023
142
311
Hivi ni kweli unaweza ukafanya mapenzi bila kutumia kinga na mdada aliye asirika na
Usipate ukimwi??
.
Maana kuna kesi kadha wa kadha zimewahi ripotiwa

Kuhusu waliowah kupata kweli na kundi lingine hawakuwah kupata kabisa

Conditions hapa zinakuwa ni zipi???

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Always jilinde, but hili upate ukimwi kwa ngono unatakiwa utembee na wanawake 120 wenye ukimwi kati yao ni mmoja tu ndie anaweza kukuambukiza
 
Jichanganye Mkuu pale utakapo ambiwa leta kidole ulicho sajilia namba ya NiDA Kisha tukuunganishe kwenye Mfumo baada ya apo inabidi uchague muda mzuri wa kunywa dawa tena inabidi Kila siku uwe unakunywa kwa wakati uliochagua

Kwa ushauri tuu Mkuu Inabidi uwe unakunywa saa nne usiku maana utakuwa umekula tayali pia upumzike Kisha ukutane na maluelue ya usiku Kisha ukiamka asubuhi unasikia njaa kama yote lkn uwezi toka kitandan maana unasikia kizunguzungu ivyo utaletewa chakula kitandani Kisha saa nne asubuhi uamke baada ya kizunguzungu kuisha

Kila lakheli
 
Hayo maluweluwe ni kwa muda tu baadae unazoea
 
Ukimwi hauna nguvu siku hizi
mkuu acha siasa usifananishe ukimwi na mafua, huo ni ugonjwa hatari kabisa maana hadi sasa hamna tiba wala chanjo.

ukiupata saivi kitachokuweka hai ni ivo vidonge vya kufubaza ambavyo utameza milele au hadi dawa ipatikane. ukiacha kumeza unaondoka.
 
Hivi ni kweli unaweza ukafanya mapenzi bila kutumia kinga na mdada aliye asirika na
Usipate ukimwi??
.
Maana kuna kesi kadha wa kadha zimewahi ripotiwa

Kuhusu waliowah kupata kweli na kundi lingine hawakuwah kupata kabisa

Conditions hapa zinakuwa ni zipi???

Sent using Jamii Forums mobile app
Issue ni blood exchange au maji maji ni rahis kupata ukimw ukiwa na dudu kubwa na uke mkavu na unaibana hasa wa hivi vitoto vya 2000
 
mkuu acha siasa usifananishe ukimwi na mafua, huo ni ugonjwa hatari kabisa maana hadi sasa hamna tiba wala chanjo.

ukiupata saivi kitachokuweka hai ni ivo vidonge vya kufubaza ambavyo utameza milele au hadi dawa ipatikane. ukiacha kumeza unaondoka.
Tiba ipo kuna babu yangu anavitoa hivo virusi vizuri tu! Ila hataki hafahamike. Hili naongea nikiwa serious na ushaidi upo. Na anakuambia kapime kabisa na anakusindikiza..!
Tiba ipo na ni siri! Naongea hivi sio kwa utapeli nimeshuhudia kwa macho yangu. Nipo serious
 
Back
Top Bottom