Ngoja tuone vituko: Comment Emoji zako tano za mwisho

Na hii ๐Ÿ–•๐Ÿฝ
Mkuu mimi nimeshavuka hiyo age nahesabu miezi kuingia 40 wote ninaowasiliana nao kupitia maandishi either wana cha kujifunza kutoka kwangu (madogo) au tunalingana umri so ni vigumu kufikia kuwekeana vitu kama hivi.

Ili utumie emoj kama hiyo lazima kuna mtu mnaefanana akili kama hamna hauwezi mtu ukaitumia.
 
Huyo mtu amekaa kigomvi ugomvi sana. Pole sana
 
Back
Top Bottom