Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,932
- 27,456
- Thread starter
-
- #161
[emoji1][emoji1]Nitakupokea kama utakavyokuja kiufupi ni kama vile ukija na panga nakuja na shoka
Jumapili hii inamajaribu😂😂[emoji1][emoji1]
Uwezi amini nimepangua vizinga 3Valentine hii wataumia wengi sanaa...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Hali Ni mbaya lepresider[emoji23][emoji23]Aisee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu pangua tuuUwezi amini nimepangua vizinga 3
Hadi Sasa wanawake hawa Mungu anawaona [emoji23][emoji23]
Kuvunjwa goti sasa basi lepresider[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mkuu pangua tuu
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mkuu chambua njia sahihi kukwepa kutenguka gotiSikubaliani na mnaosingizia magonjwa na misiba ya nyinyi wenyewe au hata wapendwa wenu kwa sababu naamini kwa kiasi fulani maneno kutoka kinywani yana nguvu ya kuumba jambo hilo
[emoji1][emoji1][emoji1] toa kitu upate vituJumapili hii inamajaribu[emoji23][emoji23]
[emoji23] kanuni ya mvuvi si wahijua "hapana patia chambo samaki aliyoko kwenye mtumbwini wape wa baharini"[emoji1][emoji1][emoji1] toa kitu upate vitu
[emoji23][emoji23][emoji119]Ukisema huna hela watakubatiza Baba sina
Ohooo[emoji23][emoji23]Natoa wapi 15K ya kusuka jamani[emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji24][emoji24]
Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Ubaya mzigo sijala mweee[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Itapatikana kibingwaa tuuOhooo[emoji23][emoji23]
Kiongozi umekwisha sasa Ni wakati wako kuwasha airplane mode weekend yote
*****Siku zote mwanamke ameumbwa kula pesa ya mwanaume. Ila kutoa utamu ni hiari yangu...aidha nikukimbie au nikuhurumie.