Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Nimejua kucheka sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu ndio Kauzu zaidi ya dagaa.
 
Suala la kumkopesha mtu ni Moyo wa mtu ofcoz kuna Watu huwaga siwezi kuwaomba hata kama najua ana helaa maana Kumsaidia mtu sio hulka yake yani hata kama anacho kikubwa walahi atakwambia hana...!! So kabla ya kumkopa mtu angalia mazingiraa. Mimi nishawahi mpa mtu 30K chap kisela tu na kiukweli nilijua haitarudi sema ndo vile ushkaji sema akaharibu akaja kutaka tena 50k aisee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Nkasema kuna watu aibu hawana.
 

[emoji24][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aisee!
 
[emoji23][emoji23] mkuu ungekwepa icho kizinga kwa kumwambia unamarejesho
 
Jamaa alijihami kwa kizinga kijacho[emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…