Wapangua ''Vizinga'' tupeane mbinu mbalimbali

Nahakikisha ninakua na mkoba wako sambamba

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkoba!!!
Pole sana.
Sibebi hata henganjifu nini mkoba.
Kidate cha kwanza tena sikujui nibebe mkoba, naweka nini...kanga au kitenge!
Kama ni make up, nalambisha foundation au powder kwenye sponchi then nakiweka ndani ya bra.
Nauli ya kurudia inakaa ndani ya bra.
Na kama itatumika, bodaboda nitamlipa nikifika nae home.
Au kama kuna vichochoro, najipigia zangu Amdha Kanoon mdogo mdogo mpaka stendi.
Bra ndo pochi langu
Nahakikisha sina cha kunisumbua wakati wa kukata moto au kukinukisha.
 
Mbinu bora kabisa na ambayo haijawahi kuniangusha juzi jana na leo ni kuwa mkweli na kukwepa kutoa promise za uongo.

Uwezo wa kusema Yes or No bila aibu wala kupepesa macho na kutoa sababu za maamuzi hayo is the way to go
 
Me nshawai kushuhudia Niko bar ,then pembeni amekaa msela na demu. .wameagiza kitimoto sasa katkati ya story jamaa akamuuliza demu
Vipi tukitoka hapa tunaenda home?
Demu akagoma akasema siku ingine ,bhac yule jamaa akaongea kwa sauti Hiyo kitimoto funga ntaenda kulia nyumbani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] doh! Dada aliona aibu Sana lakini muhuni alikua serious
Kuna watu wagumu Sana kwenye Pesa zao
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…