Kilemakyaaro
JF-Expert Member
- Jul 19, 2016
- 5,050
- 5,118
[emoji1787][emoji1787]Pokea simu anza kulia shida, umejuaje nna njaa mwana ukancheki ebu fanya mpango hata wa dala hapo chap nipo juu ya mawe
Au sioToa bila kukumbuka...
πππ
vijana wa hauna buku apo wengi wanapenda kubet sanaNoma sana!
kwa msisitizoSina
[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji81] mtaaluma mtaalamu mwenyeweHii ukikuta mchanga karata mzuri wa vizinga huchomoki mkuu
mwaka tumesha ugawa huu vipi umefanikiwa kuvipangu baadhi ndugu[emoji16][emoji23][emoji1787][emoji28][emoji81] mtaaluma mtaalamu mwenyewe
Tutaishi kwa jasho letu mtazaa kwa uchungu sasa pumbuz haliepukikiSiku zote mwanamke ameumbwa kula pesa ya mwanaume. Ila kutoa utamu ni hiari yangu...aidha nikukimbie au nikuhurumie.
NI mtihani ila uzoefu umenisaidia sana, sema kuna wale wakutanguliza hadi pro forma invoice za birthdays, kodi za nyumba, na kodi nishalipia ila nakupa jukumu la jokofu, jiko, na zulia tu kwani kochi tayari na mapazia na kitanda nimeweka kipya....hao pia dawa yao iko ishachemka.mwaka tumesha ugawa huu vipi umefanikiwa kuvipangu baadhi ndugu
πNI mtihani ila uzoefu umenisaidia sana, sema kuna wale wakutanguliza hadi pro forma invoice za birthdays, kodi za nyumba, na kodi nishalipia ila nakupa jukumu la jokofu, jiko, na zulia tu kwani kochi tayari na mapazia na kitanda nimeweka kipya....hao pia dawa yao iko ishachemka.
Naye akinyimwa tamu asije kulialia πMambo yasiwe mengi anza kutupiaView attachment 2870320
π π π π ππMambo yasiwe mengi anza kutupiaView attachment 2870320