Dr hyperkid
JF-Expert Member
- Jun 7, 2019
- 13,955
- 27,485
- Thread starter
-
- #201
[emoji23][emoji23][emoji23] kama jana nilikua airplane mode Hadi usiku mwingi mkuuKuna mtu kizinga anafatilia tokea Mwezi Januari, nimempiga spana tuu,,,,Jana 14/2/2021 text ya kwanza ilikuwa yake.Ile kureply ASANTE kosa kubwa akakumbushia na mpaka tunavyoongea sijafanya lolote mie. Na status anaview kama kawa yaaani,, kula buyu tuu na hizi nyakati kweli siyo za kupigana vizinga walahi
defensive mechanismMbinu kiboko kuliko zote ni kumuwahi mpiga kizinga kabla hajakupiga. Yaani ile unapokea simu yake tu unamuuliza kulikoni mbona ulikuwa hupatikani? Akianza kujitetea unamkatiza kwa kumwambia nilikuwa nakutafuta nikukope. Au unaanza kumlilia shida kabla hajasema zake hadi anaishiwa pozi.
Hii haijawahi kumuacha mtu salamaKuna mishe naiskilizia ikitiki ntakucheki
Io kesho utasubiri sana
[emoji3516]Umepokea vizinga vingapi mpaka sasa kuelekea Eid
Trust me hunipati na usipo kua makini tutakula zako nakuapiaKuna baadhi ya mbinu huwa zinakuwa ngumu kuchomoka.
Ila mimi ukiniruhusu nikaongee na simu nje ya eneo la tukio...ujue utasubiri mpaka kukuche, labda unisindikize.
Naenda kubeulia ofa zako home kwangu.
Michango hewa [emoji38][emoji38][emoji38]Unajibu tu sina hela, basi. Ukijibu hivyo atajua una hela ila hutaki kumpa kwa hiyo kwa ethics za taaluma yao atajiongeza.
Hapo kwa watoto wa bweni/vyuoni kama unazungumzia hawa wa kuwazaa, mzinga haukwepeki. Mzazi ukiwa mkoloni mtoto anakupiga kwenye michango hewa.