Wapaka rangi kucha, wanatuibia wake zetu

Mjifunze kutengeneza wake zenu mbona kutafuta hela mnaweza? Mi najua vyote mpaka massage shemeji yenu anapata ukiachilia kusafishwa kucha, nywele namnyoa mwenyewe hana haja ya kwenda salon. Tuepukane na uvivu tuchukue hatua kuboresha mahusiano na wenza wetu.

Hii coz ya kutengeneza kucha inabidi niipate
 
ile ni kazi bana

mtu akiamua kutembea nao basi kaamua kwa mapenzi yake tu
 
Haya maisha yanapoenda sasa balaa itatufanya tujifunze kupaka rangi kucha na kufanya massage kabla ya kuoa
 
Kinachonikera wanapokuwa wanasuguliwa hiyo miguu yaani muda unavyozidi kwenda ndimwanatanua miguu..mi huwa simuelewi kabisa wife material na hii kitu..anakuja kwenye ki ist chetu twende home makongo kaiva macho kama kala ukwaju

Mkuu inaonekana hii ishuuuu imeku touch sanaaaaaa sikuna chama mkuu chakwenda kujiteteaaa CHABATA.
 
Hebu hii Tanzania ipite faster ije mpya ya Safari ya Matumaini
 
Kuna haja ya kujua km hawa jamaa ni rijali au lah! Yani salon za kiume wale wadada ni shida na huko nako mmh!!
Mkuu kuna ile barber shop moja survey road nilipigwa scrub, nikapigwa kamasaj flani ameizingiii na kulambwa kashingo ,nikamalizia kutoa tip! Yes tip!
 

Attachments

  • 1432750019565.jpg
    1432750019565.jpg
    70.2 KB · Views: 545
Engine wanakuja kusafisha kucha wamevaa mini utakumbuka kumdai ela kweli.wengine wanawakuna vizuri kweli akija tena utasikia kama jjuz frank makucha!
 
Moja ya maeneo yenye hisia kwa wanawake ni miguu (unyayo), hivyo wanaume tujifunze kuyatumia kwa ustadi la sivyo tutaishia kuwaona wabaya wakina mr kucha.
 
Moja ya maeneo yenye hisia kwa wanawake ni miguu (unyayo), hivyo wanaume tujifunze kuyatumia kwa ustadi la sivyo tutaishia kuwaona wabaya wakina mr kucha. But, usafi muhimu kwa wanawake.
 
Habari za jioni wana JF

Nimekuwa kila mara nikiwaona wauza urembo wa kutembeza kila kona ya miji yetu ni WANAUME
Wapaka rangi kila kona si mitaani mpaka kwenye mabaa ni WANAUME
Hapa nikajiuliza hivi ni nn haswa chanzo cha shughuli hz kuwakuta WANAUME ndiyo mafund
i ilhali ningetaraji wamama yaani WANAWAKE waijue vyema zaidi kama ilivyo kwa wapaka michoro ya HINA na kadhalika..

Out of curiosity!
 
Usiangalie tu upande wa kupakaa wanawake rangi, angalia pia umbali wanaotembea kupita pita na kukatiza mitaa... hiyo ni kazi ngumu kama ya mmachinga kutembea na kutafuta wateja wa bidhaa zake...
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom