Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 52,712
- 128,392
Hahaaaaa. LolSizani kama naweza kuvumilia hata mwezi 1
Hahaaaaa. LolSizani kama naweza kuvumilia hata mwezi 1
Katunzweni kwenye vituo vya wasiojiweza au mkajiandijishe TASAF..! Mnakera nyie mabinti
Msweet umechekajeeee[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahahhahahahhahahaha
Kumbeee,.[emoji38]Ukiwa na pesa+hekima lazima uitwe mzee
Nakuonya kwa mara ya mwisho... mimi sio "mkuu" mimi ni "babu" yenu.Hakyani nimekaa mama twende huku nafika huko nanunuliwa kiatu na simu kwanini nisione (RAHA MKUU)? Bado nikiwa nyumbani lazima nipokee mzigo na ninavyopenda kupokea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji127][emoji127]
Haya jitoe kwenye baraza la wazee haraka sana...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....[emoji125][emoji125][emoji125]
[emoji23]hahaha
Hahah!....Hahahaaa. Nimecheka sana hiki nilichokiandika rafiki.
Hivyo kama una waubavu apambane na hali yake. Lol
Hahaaaa. Duuh.Hahah!....
Kama anaharaka ya kuolewa atafute tu muoaji kwanza
nani kamuingiza kwenye hilo baraza?[emoji20][emoji19]Haya jitoe kwenye baraza la wazee haraka sana...
Hahah!!...Hahaaaa. Duuh.
Sijawahi ona umeandika maneno ya kukatisha tamaa kama haya ya leo rafiki.
Hivyo awe na Subira sababu mwenyewe bado upo upo. [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12].
Wabaki kuwa viburudisho kwa waliooaKwahiyo wabongo wataolewa na nani au mnataka dada zenu waendelee kudanga?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Umeng'ata meno umekanyaga mwiba kwani...Mmmmm[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haya sawa mkuu
We kahaba wa mjini usichangie mijadala ya Ndoa, maana wewe ushakosa hiyo neema.Basi wakazitafute kwanza
Nikutunze kwani wewe kumbukumbu? Nikuweke ndani kwani wewe sofa? ati unakunywaa, unavaaa, kwani huna wazazi? KILA MTU AFANYE KAZI...Ndoa haina uhusiano wowote na Pesa.Hamna muoaji asiyekuwa na hela bana.
Hata vitabu vya dini vimesema kuna condition ya kuoa ambayo ni kuwa na uwezo.
Unaweza amua kupiga deshi but mtoto wa watu atakula nini? Atavaa nini na atalala wapi?
Raha ya mke kutunzwa bwana. Asikuambie kitu. Umewekwa zako ndani, unakula, unakunywa, unavaa na mumeo kabisa anajipiga kifuani with that 'she's covered' look.
Sasa utaitwaje huna pesa busara ziro kundi gani utawekwa sasa[emoji41][emoji41][emoji41]Kumbeee,.[emoji38]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa babu ulimi hauna mfupa uuuwiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Nakuonya kwa mara ya mwisho... mimi sio "mkuu" mimi ni "babu" yenu.
Usije ukasema sijakuonya ...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ai jamani vibaya hivyoWabaki kuwa viburudisho kwa waliooa