Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Tena mvi kwenye nywele maeneo yote...Aaaah babu uzee kwani mpaka uwe na mvi!??[emoji39]
Tena mvi kwenye nywele maeneo yote...Aaaah babu uzee kwani mpaka uwe na mvi!??[emoji39]
Hivi eeeeeihn, hebu nambie vizuri kuhusu wanawake wa rombo?!Kuna wengine wakioa ndio wanaanza kuzipata hizo pesa...
Kama unabisha kamuoe mwanamke wa kirombo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....[emoji125][emoji125][emoji125]Tena mvi kwenye nywele maeneo yote...
Tukizipata wazuri watakua wamewahiwaWatafute wakipata warudi kuoa
Watafute na wakwao wawapendezeshe watakua wazuri tuTukizipata wazuri watakua wamewahiwa
hahahaMimi bado sio muoaji rafiki wala nisiwe muongo
Ha ha ha ha ha ha ha ha! Yamekukuta nini nduguTuendelee kuwepo tu wanaume wavulana wa siku hizi wanaboa jitu miaka 33 halina hata kiwanja, si kiwanja tu hata kupanga Chumba hawezi ni tegemezi anaishi kwa mjomba wake seriously na huyu aoe mwanamke?
Ni wapambanaji hawez kwenda kununua mchicha wakati unaishi eneo lenye udongo mzur wakulima mboga mboga,hata umfungulie genge ndan ya miezi sita atakua kalijeuza soko ndogo,hawana mambo ya kidunia hawajui starehe kiivyo.Hivi eeeeeihn, hebu nambie vizuri kuhusu wanawake wa rombo?!
Aiseee maana kuna bi dada hapa nina mazoea nae na nipo nae kwenye dilemma huwa ananihoji kuwa nina mpango nae kweli ama ni vipi?!Ni wapambanaji hawez kwenda kununua mchicha wakati unaishi eneo lenye udongo mzur wakulima mboga mboga,hata umfungulie genge ndan ya miezi sita atakua kalijeuza soko ndogo,hawana mambo ya kidunia hawajui starehe kiivyo.
Wanawake wakirombo wapo tofauti sana mkuu
Wewe subili tu yetu macho [emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Na wanaume wakipata hizo pesa wanakwenda chukua wanawake wa nje.....mnachokitaka mtakipata
Haaa haaa kumbe ni kijana [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Huo uzee umeuanza lini?
Sijaona jina lako kwenye kitabu chetu...
Hakyani nimekaa mama twende huku nafika huko nanunuliwa kiatu na simu kwanini nisione (RAHA MKUU)? Bado nikiwa nyumbani lazima nipokee mzigo na ninavyopenda kupokea [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji127][emoji127]Sema hakyamungu....
Ukiwa na pesa+hekima lazima uitwe mzeeAaaah babu uzee kwani mpaka uwe na mvi!??[emoji39]
Haaaa haaa aiseTena mvi kwenye nywele maeneo yote...
Kwakweli hakuna mke mbaya matunzo jamani!Watafute na wakwao wawapendezeshe watakua wazuri tu
HahahahhahahahhahahahaNa wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........