Asprin
Platinum Member
- Mar 8, 2008
- 68,487
- 96,981
Yule nimemkabidhi akague wale walio chini ya kiwango...Kwani yule uliye mkabidhi kazi umemtumbua tayari?
Yule nimemkabidhi akague wale walio chini ya kiwango...Kwani yule uliye mkabidhi kazi umemtumbua tayari?
Sasa akishakua na hela anaanza kulipiza maana wakati hana hela alisumbuliwa kwaiyo wakati unatafuta mwenye hela na mwenye hela analipa kisasi haowi anapitia kwanza kuoa akishachoka kupitiaNa wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........
Hahaaa babu katika viwango vyako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Yule nimemkabidhi akague wale walio chini ya kiwango...
Sio unacheka tu afu unasahau kuja chumba cha ukaguzi. Hakikisha unakuja without kabisa ili tusipoteze muda...Hahaaa babu katika viwango vyako [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Nakuja [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]Sio unacheka tu afu unasahau kuja chumba cha ukaguzi. Hakikisha unakuja without kabisa ili tusipoteze muda...
Ole wako unichomeshe mahindi...Nakuja [emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126][emoji126]
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] tutayauza kwa watejaOle wako unichomeshe mahindi...
Babu bathiiiii nimeghairii.....[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Haya ingia kwanza chumbani kwa babu nikufanyie ukaguzi kabla sijatoa kibali maalum
AiseeeSasa akishakua na hela anaanza kulipiza maana wakati hana hela alisumbuliwa kwaiyo wakati unatafuta mwenye hela na mwenye hela analipa kisasi haowi anapitia kwanza kuoa akishachoka kupitia
No nawaona na humu jf wapi kibao, waongeaji sana hawana jipyaHa ha ha ha ha ha ha ha! Yamekukuta nini ndugu
Tena kama ya kurusha pesa ya nauli kwa demu 30,000/= anaweza akaja au asije. [emoji23]Hahahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo hapo nisawa na kucheza kamali
Wakizipata hawatokuoa ww unaesubiri Mwenye nazoBasi wakazitafute kwanza
Define 'broke'.Well and good.
But fact remains marriage is not for the broke.😀😀
What do you think?Define 'broke'.
see?"For, unlike women (who have an eye for money), men notice only woman's external appearance"-Esther Villar
TAFSIRI
wanaume huangalia physical appearance ya mwanamke, wanawake wana-concetrate kwenye pesa ya mwanaume Karucee
Karucee you embodies my whole existencesee?
Not for the faint hearted.
Au ada ya chuo [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Tena kama ya kurusha pesa ya nauli kwa demu 30,000/= anaweza akaja au asije. [emoji23]