Ushimen
Platinum Member
- Oct 24, 2012
- 44,851
- 113,288
Kuna wengine wanasema....Duh,pesa hizi!!!
Duh, ndoa hizi!!!
Kuna wengine wanasema....Duh,pesa hizi!!!
Katunzweni kwenye vituo vya wasiojiweza au mkajiandijishe TASAF..! Mnakera nyie mabintiHamna muoaji asiyekuwa na hela bana.
Hata vitabu vya dini vimesema kuna condition ya kuoa ambayo ni kuwa na uwezo.
Unaweza amua kupiga deshi but mtoto wa watu atakula nini? Atavaa nini na atalala wapi?
Raha ya mke kutunzwa bwana. Asikuambie kitu. Umewekwa zako ndani, unakula, unakunywa, unavaa na mumeo kabisa anajipiga kifuani with that 'she's covered' look.
Kagua at your own risk...Sasa jamani mke naye imekuwa bidhaa mpaka uikague na kupekenyua duu, haya sina neno
Kweli kabisa nami nilikuwa nachungulia huku najiliwaza kwa stress za hapa na pale.Matembezi tu... Hujui kuwa matembele ni matamu kama nanihii
Waoaji je....[emoji47] [emoji47]Waolewaji wanazingua
CcKwahiyo wabongo wataolewa na nani au mnataka dada zenu waendelee kudanga?[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
Toba....[emoji87] [emoji87] [emoji87]Waendelee tu kudanga hata ukiwaoa bado anagawa tigo nje [emoji87]
Au Rwanda kwa kagameHela tunazo ila si unajua hela ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania, tunakusanya kshs, kadhaa twende Mombasa tukaoe.... [emoji23]
[emoji17] [emoji124]Toba....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
Yeaaah watoto wazuri wembamba warefu daaah siyo poa. [emoji23]Au Rwanda kwa kagame
Mmmmm[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] haya sawa mkuuKagua at your own risk...
Ndiyo inaitwa hivyo. [emoji27]
Ali kiba si ndiyo kavuka mipaka?Cc
Ay, Kiba na mwingine nimemsahau... tehteehhh
[emoji4][emoji4]nimeipokea mzee mwenzangu[emoji120]Heshima yako ikurejee...[emoji120]
Huo uzee umeuanza lini?We muoaji au siyo muoaji mzee mwenzangu??[emoji4]
Sema hakyamungu....Raha ya mke kutunzwa, na huwezi oa huna chakuanzia kuishi na mke
Aaaah babu uzee kwani mpaka uwe na mvi!??[emoji39]Huo uzee umeuanza lini?
Sijaona jina lako kwenye kitabu chetu...