Idimi
Platinum Member
- Mar 18, 2007
- 15,670
- 11,770
Na wengi wenye hela wameshaoa. Huwezi kuwa na pesa, magari na nyumba hlf madem wazuri wakuache hivihivi. Unless uwe na matatizo.Na wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........
Na wengi wenye hela wameshaoa. Huwezi kuwa na pesa, magari na nyumba hlf madem wazuri wakuache hivihivi. Unless uwe na matatizo.Na wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........
Hamna muoaji asiyekuwa na hela bana.
Hata vitabu vya dini vimesema kuna condition ya kuoa ambayo ni kuwa na uwezo.
Unaweza amua kupiga deshi but mtoto wa watu atakula nini? Atavaa nini na atalala wapi?
Raha ya mke kutunzwa bwana. Asikuambie kitu. Umewekwa zako ndani, unakula, unakunywa, unavaa na mumeo kabisa anajipiga kifuani with that 'she's covered' look.
Babu naomba nafasi ya Leo na kesho tuu,..Haya jitoe kwenye baraza la wazee haraka sana...
[emoji22][emoji22][emoji22]nani kamuingiza kwenye hilo baraza?[emoji20][emoji19]
Hapana bali najiuliza kukagua kagua "own risk"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Umeng'ata meno umekanyaga mwiba kwani...
Mwingine ni jini si kila wowowo ni la demu. [emoji23] [emoji378] [emoji91]Hapana bali najiuliza kukagua kagua "own risk"[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaaa [emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo mingine mizuka duuMwingine ni jini si kila wowowo ni la demu. [emoji23] [emoji378] [emoji91]
Mmmh... ila mfano waarabu hawapendi hizo mambo mpaka ndoa na ukicheki ushatumia 5 milioni kwake. [emoji4]Hahaaa [emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo mingine mizuka duu
Kama umempenda basi ukikutacho saizi yako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa ukikuta kisichojulikana basiMmmh... ila mfano waarabu hawapendi hizo mambo mpaka ndoa na ukicheki ushatumia 5 milioni kwake. [emoji4]
Mmmh... Siyo kirahisi hivyo lazima uingie mkataba na makazi ya kuzimu. [emoji87]Kama umempenda basi ukikutacho saizi yako[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] sasa ukikuta kisichojulikana basi
Hahahaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] kwahiyo hapo nisawa na kucheza kamaliMmmh... Siyo kirahisi hivyo lazima uingie mkataba na makazi ya kuzimu. [emoji87]
Haya ingia kwanza chumbani kwa babu nikufanyie ukaguzi kabla sijatoa kibali maalumBabu naomba nafasi ya Leo na kesho tuu,..
Ewaaa... Usisahau na mfupa pia hauna ulimi....[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] sawa babu ulimi hauna mfupa uuuwiii [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Nikutunze kwani wewe kumbukumbu? Nikuweke ndani kwani wewe sofa? ati unakunywaa, unavaaa, kwani huna wazazi? KILA MTU AFANYE KAZI...Ndoa haina uhusiano wowote na Pesa.
Itabidi tufanye upelelezi. Kuna viashiria vya rushwa ya ngono kwenye hili baraza... kuna watu ni wa kutumbua na wengine tuwateue wawe mabalozi wanaosubiria vituo watakavyopangiwa kazinani kamuingiza kwenye hilo baraza?[emoji20][emoji19]
Fact Number 3Nikutunze kwani wewe kumbukumbu? Nikuweke ndani kwani wewe sofa? ati unakunywaa, unavaaa, kwani huna wazazi? KILA MTU AFANYE KAZI...Ndoa haina uhusiano wowote na Pesa.
Haswaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]Ewaaa... Usisahau na mfupa pia hauna ulimi....
Ewaaa.... sasa jiandae kukaguliwa na babu mkaguziHaswaaa [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwani yule uliye mkabidhi kazi umemtumbua tayari?Ewaaa.... sasa jiandae kukaguliwa na babu mkaguzi