Ulweso
JF-Expert Member
- May 24, 2016
- 23,106
- 28,062
Wape kabisaNa wewe unaka mke boomba unadhani kawa hivyo kwa kula nyasi?
Wape kabisaNa wewe unaka mke boomba unadhani kawa hivyo kwa kula nyasi?
Na waoaji wapo ila hawana hela eeh?!!......Na wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........
Yaaani....acha kabisaDuh,pesa hizi!!!
Mambo yangu yako poa sana just like you ,furaha ,aman, kufanikiwa ktk my goals nisehem poa kabisa.hmmmmm.
Mambo?
Wenye pesa hawataki kuoaNa wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........
Na hawa wasiokuwa na pesa wakioa, siku wakipata hizo pesa wanawaona hao wake zao sioWenye pesa hawataki kuoa
wasio na pesa wanataka kuoa.
Ridiculous.
Una uzoefu na hilo ?Na hawa wasiokuwa na pesa wakioa, siku wakipata hizo pesa wanawaona hao wake zao sio
type yao wanatafuta wanaoendana na pesa walipata, ni majanga juu ya majanga
Si kila siku yapo tunayaona hujawahi ona mtu akiwa hana pesa anasalimia lugha yetu akizipata utasikia "how are you " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Una uzoefu na hilo ?
Nakubali hayo mambo yapo.Si kila siku yapo tunayaona hujawahi ona mtu akiwa hana pesa anasalimia lugha yetu akizipata utasikia "how are you " [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa akili if you are a man big up your wife ana /ata enjoy sana maana wewe ni mwelewa.Hamna muoaji asiyekuwa na hela bana.
Hata vitabu vya dini vimesema kuna condition ya kuoa ambayo ni kuwa na uwezo.
Unaweza amua kupiga deshi but mtoto wa watu atakula nini? Atavaa nini na atalala wapi?
Raha ya mke kutunzwa bwana. Asikuambie kitu. Umewekwa zako ndani, unakula, unakunywa, unavaa na mumeo kabisa anajipiga kifuani with that 'she's covered' look.
Heh!Basi wakazitafute kwanza
Hutaki madanga ya TZHela tunazo ila si unajua hela ya Kenya ni kubwa kuliko Tanzania, tunakusanya kshs, kadhaa twende Mombasa tukaoe.... [emoji23]
She is a ladyKwa akili if you are a man big up your wife ana /ata enjoy sana maana wewe ni mwelewa.
sana .
kweli asilimia kubwa hawana heLa
Ndiyo hivyo wahenga walisema msafara wa mamba na kenge wapoNakubali hayo mambo yapo.
Na hayana jinsia. Wapo me au ke wanao display their true images baada ya kukua kiuchumi.
Lakin ni aina fulan ya ushamba.
Wape pole.Ndiyo hivyo wahenga walisema msafara wa mamba na kenge wapo
Natabia hizo si wote ila wengi tu wenye tabia hizo, kuna kipindi wadada wa USA walilalamika
kuwa vijana asili ya africa wana wapenda wakiwa choka mbaya siku wakitoka kimaisha wanawakimbia na
kwenda kwa wale wenye kufanana na pesa
[emoji2] [emoji2] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Na wenye hela wapo ila siyo waoaji eeh?!!.........
Kipimo cha kuoa ni uwezo wa mume kuwa na uwezo wa kuhudumia familia yake ipasavyo.Kwani kipimo cha kuoa ni fedha?