Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Sidhani km wewe Una gasPepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Hongera sana kwa kuweza kuacha.Kuna miaka nilikuwa km teja, bila pepsi msosi hauendi..
Asubuhi napiga moja, mchana kwenye msosi, usiku tena kwenye msosi..
Ile gesi ikipita kooni kuna namna inaburidisha koo, nsigida kwa nguvu kisha natoa ile gesi(mbwewe)
Ila siku hizi nimeacha soda, mwaka huu nimekunywa mara 3 sijui.
Ahaha uje hapa makumbusho nikupe mchongo wa cocaSiku hizi umekua balozi wa Pepsi? Nigawie endorsement na mie. Lol
Iyo ngumuClub soda la moto
😂😂😂😂Ahaha uje hapa makumbusho nikupe mchongo wa coca
Hongera sana mm bila peps hapanaKuna miaka nilikuwa km teja, bila pepsi msosi hauendi..
Asubuhi napiga moja, mchana kwenye msosi, usiku tena kwenye msosi..
Ile gesi ikipita kooni kuna namna inaburidisha koo, nsigida kwa nguvu kisha natoa ile gesi(mbwewe)
Ila siku hizi nimeacha soda, mwaka huu nimekunywa mara 3 sijui.
Mnawazaga usengeSidhani km wewe Una gas
Coca hapanaSiku ukigusa Coca cola utasahau, yaani wajinga waliipatia haswa, na ninavyowaza mbwa wale wanatuchanganyia cocaine ndani maana siyo kwa Radha hiyo.
Ndiyo maana hawatoi Siri ya ingredients
Wewe tenaPepsi zina uraibu hizo, caffeine nyingi sana.
Kuweni nazo makini.