Wanywaji wa pepsi mpo

Wanywaji wa pepsi mpo

Kuna miaka nilikuwa km teja, bila pepsi msosi hauendi..
Asubuhi napiga moja, mchana kwenye msosi, usiku tena kwenye msosi..
Ile gesi ikipita kooni kuna namna inaburidisha koo, nsigida kwa nguvu kisha natoa ile gesi(mbwewe)

Ila siku hizi nimeacha soda, mwaka huu nimekunywa mara 3 sijui.
Kwa hiyo umefuata masharti tiba lishe? Mkuu una-miss utamu!
 
Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Nimekuwa addicted ni hii kitu week hii nimeamua kuacha maana kila sku lazima ninywe 1 au 2 zile take away. Nimeamua nianze kuwa mwangalifu na vitu ninavyokula na nimeanza na pepsi na mavyakula ya kukaanga yenye mafuta.
 
Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Mambo ya pass hayo ya baba mdogo.

Naona umeshakula shavu kiwanda cha pepsi lazima uwanadi mwaka huu hata kama Mirinda chungu.
 
pepsi tamu balaa, nlinunua za jumla,, jana sikunywa ila leo nimekunywa na sijamaliza chupa,, nlikunywa juzi kama robo nikaacha, leo nimemimina tena kwa glass, imebaki kidogo ntaimalizia kesho kutwa 😂,,
 
Back
Top Bottom