Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,467
- 65,789
- Thread starter
- #21
AhahahWapare wana kamsemo wanasema FANTA NI TAMU LAKINI PEPSI NI KIBOKO.
AhahahWapare wana kamsemo wanasema FANTA NI TAMU LAKINI PEPSI NI KIBOKO.
Itakuwa waujua 🤣Mnawazaga usenge
Hahaha sema kweliHujakutana na Anjari soda ya baridi wewe...
Toka hapa.😡Mirinda nyeusi ya baridi
Mimi soda yangu pendwa ni Cocacola na PepsiPepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Coca ilikuwa zamani sio siku hizi. Formula ya Pepsi ya sasa ipo vema sana. Ina addiction kali sana.Siku ukigusa Coca cola utasahau, yaani wajinga waliipatia haswa, na ninavyowaza mbwa wale wanatuchanganyia cocaine ndani maana siyo kwa Radha hiyo.
Ndiyo maana hawatoi Siri ya ingredients
Hii nami naiunga mkono kiainaMirinda nyeusi ya baridi
Ni kweliiMkuu Pepsi imeenda Shule japo tumia kwa kiasi siunajua.
SanaTUTAKUWEPO
InapendezaMiezi miwili iliyopita niliacha rasmi kunywa soda, maana huu mwaka wakati unaanza nilikuwa nazipiga sana, nilikuwa nakunywa randomly tu nikiamua sahiz napiga mbili, kesho moja hadi kuna wiki nilihesabu nilikuwa nimekunywa chupa 17 za soda
Hofu ikanijia nikawa nawaza Kisukari kilivyomtesa mzee wangu (ila sasa kimetulia, anaendele vizuri) sasa nikaona isiwe mbaya. Nilipanga kuacha kunywa soda tangu mwezi wa tatu, ila nikawa nakaa siku mbili sijanywa siku ya tatu nakunywa.
Ilipofika June, nikafanikiwa kuacha moja kwa moja. Hapa nina mpango ninywe soda tena mwaka 2027 kipindi cha Afcon 😂😂😂
Chezea baraka za myahudi weweee.Pepsi tuwape maua yao soda ya pepsi ikiwa ya baridiiiiii ukishusha kwenye koo kuna ka msisimko una kuja sijawai pata soda kama pepsi haina mshindani kabisa
Kuna kitu kina kwangua duh washukuriweMimi soda yangu pendwa ni Cocacola na Pepsi
Kwa kweli wakati wa jua kali na uchovu ukiinywa dah, hatari sana. Kongole sana kwa watengenezaji
Kabisa
Soda ipi ni nzuri?Pepsi zina uraibu hizo, caffeine nyingi sana.
Kuweni nazo makini.