Wanywa castle light

Wanywa castle light

Light mixer nzazi alaf kamata mtt mweupe..nilizimisha mtu aisee
 
lite mnakunywa matoz wa dar sisi wa Mwanza yetu nj BALIMI
 
Jamani napata taabu
kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao
ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa
na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno

pole mzee,mie nishajitoga kabisa kwenye bia hapa ni mwendo wa konyagi
basi,kama nikitaka kubadilisha upepo bas nakamtilia jack daniels au
teachers
 
pole mzee,mie nishajitoga kabisa kwenye bia hapa ni mwendo wa konyagi
basi,kama nikitaka kubadilisha upepo bas nakamtilia jack daniels au
teachers
Kabisa Mkuu, lengo la pombe ni kupata stimu na sio kujaza mimaji tumboni
 
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.

Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:

Wazungu wanafiki tu huko kwao tumefika na tumeona wao pia ni walevi tu na baa wanakaa mpaka usiku wa manane
 
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno
Tisa tu nilisha kula 21 na nikadrive mpaka hm na sikufeel kulewa kabisa ,zile zinawafaa wanafunzi wa kilevi sisi wazee wa viroba is jus a wastage of money n time...!
 
bora anywe hiyo LIGHT kuliko kuwa na MICHEPUKOOOO
 
Kila mtu na starehe yake kama vipi kunywa gongo ili ulewe haraka.
 
kama wewe ni mlevi ,,basi sio bia yako....
wew endelea kunywa safari za mot

mimi nakunywa hizo castle lite kwasababu
-nina kitambi
-nimekatazwa bia kunywa kutokana na presha
-na drive ,nahitaji kuwa sober always nakaa mbali na kazini
-sio mlimbukeni wa vileo,nilikunywa sana enz za chuo
 
kama wewe ni mlevi ,,basi sio bia yako....
wew endelea kunywa safari za mot

mimi nakunywa hizo castle lite kwasababu
-nina kitambi
-nimekatazwa bia kunywa kutokana na presha
-na drive ,nahitaji kuwa sober always nakaa mbali na kazini
-sio mlimbukeni wa vileo,nilikunywa sana enz za chuo
Da ebana ngoja na mie nijaribu hizo lite maana kitambi yangu naona inanipa shida,halafu siku hizi nikinywa ile bia yangu Caslte Lager huwa inanipa hangover sana,i think its time to shift to this beer.
 
CASTLE LITE & CASTLE LIGHT,mradi mmejua ni bia gani inazungumziwa
 
castle lite ni bia nzuri na yenye heshima, nilijaribu nikajikuta mdau, nikikosa ela ya grants napga hizo. ila ukitaka kujilipua kunywa bia ngumu, eagle, bingwa na safari. na ndio maana tusker wakaleta lite yao, baada ya kuona zinapendwa.
 
piga castle milk stout mkuu. hivi kulewa rahaee..
 
Back
Top Bottom