Wanywa castle light

Wanywa castle light

Hakuna beer hapa bongo yenye ladha safi na ya asili ya beer kama caatle lager na safari uongo dhambi.
 
kama wewe ni mlevi ,,basi sio bia yako....
wew endelea kunywa safari za mot

mimi nakunywa hizo castle lite kwasababu
-nina kitambi
-nimekatazwa bia kunywa kutokana na presha
-na drive ,nahitaji kuwa sober always nakaa mbali na kazini
-sio mlimbukeni wa vileo,nilikunywa sana enz za chuo

He he kwani lite si bia nyenye ngano kitambi pale pele mkuu zote ni ngano na jamii yake au unafikiri castle lite si bia?
 
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa..
---Wapo wanaotaka kulewa
---Wapo wanaotaka kuburudika tu
---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA)
---Wapo wanaofata mkumbo
---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji.

Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:

Pia wapo wanaokunywa kinywaji kwa kufuata umbile la chupa, mfano Ndovu zamani walikuwa na chupa kubwa wanywaji walikuwa wachache lakini baada ya kubadilisha chupa wanywaji wameongezeka!!!
 
Da ebana ngoja na mie nijaribu hizo lite maana kitambi yangu naona inanipa shida,halafu siku hizi nikinywa ile bia yangu Caslte Lager huwa inanipa hangover sana,i think its time to shift to this beer.

Mzee ako ka light ni kachupa kadogo ukimimina kwa glass mara moja kameisha, kili phanto ndio mpango mzima
 
Da ebana ngoja na mie nijaribu hizo lite maana kitambi yangu naona inanipa shida,halafu siku hizi nikinywa ile bia yangu Caslte Lager huwa inanipa hangover sana,i think its time to shift to this beer.

Mkuu hiyo light huoni kama ni kadogo sana! We piga hilo lager tu
 
Jamani napata taabu kujua hasa nia ya watu hasa wanaume wanaukunywa hiyo bear, je lengo lao ni kupata kilevi au kunywa tu ilimradi. Nimewahi kunywa hizo bear tisa na sikuona mabadiliko yoyote kichwani. Ni laini mno

Mkuu tatizo unakunywa vibia vya wanawake...Wanaume tunakunywa Guiness..Welcome to the Table of Men
 
Tisa tu nilisha kula 21 na nikadrive mpaka hm na sikufeel kulewa kabisa ,zile zinawafaa wanafunzi wa kilevi sisi wazee wa viroba is jus a wastage of money n time...!

Yaani baada ya kunywa 9 sioni stimu, nakaona dalili za hasara, ikabidi fasta nihamie safari nipate stim
 
Kila mtu ana sababu yake ya kunywa anachokunywa.. ---Wapo wanaotaka kulewa ---Wapo wanaotaka kuburudika tu ---Wapo wanaopenda ladha na harufu ya kinywaji tu(mfano wanaopendelea BALTIKA) ---Wapo wanaofata mkumbo ---Wapo wanaomini kuwa wanavutia au wanajiongezea mvuto ikiwa wataonekana wanakunywa aina fulani ya kinywaji. Siku moja nilikutana na mzungu bar akawa anashangaa kwanini waAfrika wengi wanatumia pesa nyingi na muda mwingi kunywa bia nyingi na kukaa bar muda mrefu ili tu kulewa, ilhali wanaweza kutumia pesa kidogo kunywa vinywaji vikali na wakalewa haraka hinvyo kutopoteza muda mwingi bar.:behindsofa:
mimi napata red wine unasemaje?
 
Naona umepanic bro.
--Unahisi kila atajaye mzungu basi amemtukuza!!!Huku ni kupanic
--Kwanini unafikiri mzungu niliyekutana naye bar ni lazima atakuwa jamaa yangu tena foreigner!!!Hapa pia umepanic
--Unahisi kuwa nimemtaja mzungu hapo ili kuunogesha ushauri wake kuwa ni mzuri!!!Hapo umepanic
Mzungu ni mzungu tu na mwafrika atabaki kuwa mwafrika na wala mzungu hawi bora kwa kuwa katajwa na mwafrika.
Pia kushangaa kwa mzungu hakufanyi mwafrika aonekane kakosea.
Hii ni dunia huru bro usipanic.
Tongoa ,tongoa mwanakwetu jipole lielewe!oh nimekumbuka nyumabani!sema sema zuzu aelewe!
 
Niliwahi kwenda kwenye sherehe ilibidi nisitishiwe huduma ya vinywaji............hivyo vilite shida tu nilipiga karibu ishirini sisikii kitu..........halafu unaingia bar unakuta mtu anainywa kwa glass.Mwendo JD huna pesa gonga Castle lager za moto
 
Back
Top Bottom