Betterhalf
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 2,882
- 2,561
Hayo matukio yalishawahi kutokea kwenye baadhi ya maeneo.Isipokuwa baadae exaggeration ndo ilipamba moto sana.Nakumbuka Arusha ile njia ya kwenda Kisongo kule mikahawanii. Duuh Yaani palivuma sana kuwa kuna wanyonya damu.
Ila siamini kama ilikuwa kweli.