Mbao za Mawe
JF-Expert Member
- May 11, 2015
- 23,372
- 55,027
Mimi nilinyonya kwa Shida zangu binafsi.Mlikuwa mnaipeleka wapi?
Je mkukuta sio salama inakuwaje?
Mimi nilinyonya kwa Shida zangu binafsi.Mlikuwa mnaipeleka wapi?
Je mkukuta sio salama inakuwaje?
Nataka nikunyonyekipindi kile ilikua balaa..mmekaa darasani utasikia wanyonya damu hao..kukimbizana kwake hadi kukanyagana

Haha zamani raha sanaNakumbka enzi hizo niko darasa la kwanza,tulitimua mbio shule nzima baada ya kuona gar likidaiwa la wanyonya damu kitambo sana sijui kama ilikua ukwel.
Sana mkuuHaha zamani raha sana
Hakuna kitu kama ''chinja chinja'' au wanyonya damu. Huo ni uvumi wala hauna maana yoyote. Ila zamani watu wengi waliamini na wazazi walikuwa wanatumia hii njia kutishia watoto wasitembee usiku hasa wakiogopa watu wabaya watawabaka.Vp mkuu hii issue ilikuwa ni kweli?
Hakuna ukweli wowote ni uzushi tu,pia ikazushwa eti kuna wachuna ngozi!
Ikaja ukiwa na kipara unakatwa kichwa! Mara ukiwa na mwanya unakatwa kichwa!
Ikaja ukiwa na alama ya M kiganjani unakatwa mkono!
Hizi ni hadithi za kufikirika tu za utotoni.
Nakumbuka wachuna ngozi wawili walikamatwa mbozi mbeya wakiwa na ngozi waliyoichuna,yaani yule binadamu aliyechunwa huwezi kukuangalia mara mbili,WACHUNA NGOZI WALIKUWEPO, SIO UZUSHI KWANI KUNA MIILI ILIOKOTWA IKIWA IMECHUNWA NGOZI NA NINA KUMBUKA WATUHUMIWA WALIKAMATWA ISIPOKUWA SINA KUMBUKUMBU YA KESI ZAO ZILIISHAJE
Tena mtu anayekwenda kuokolewa ni yu mgonjwa hoi na huyo anayenyang'anywa uhai ni mzima kabisa! Vitu vingine wala huhitaji shule kujua huu ulikuwa ni uongo. Biashara ya viungo vya binadamu iliyopo ni hii ya vitu kama figo. Japokuwa hapa Bongo haipo lkn sehemu kama India mtu akikaa vibaya anatolewa figi zinakwenda kuuzwa kwa tajiri mwenye fedha anayehitaji. Kuna kisa niliambiwa cha jamaa ''aliibiwa' figo moja hospitalini wakati wa operation!Bwana @uhurukenyata kwa maelezo yako ni kwamba haya matukio yalikuwa ni kweli. Hawa jamaa hiyo damu walikuwa wanaifadhi wapi? Je walikuwa wakinyonya wanaimaliza kwenye mwili wa mnyonywaji maana kama nilivyosema hapo kwenye post yangu #1 unatoaje uhai wa mtu ili kuokoa uhai wa mtu?
Nataka nikunyonye![]()
naona umekua vampire sasa