mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 39,286
- 44,842
Ok basi acha wazalishe cement ndogo ili BEI IPANDE
Sheria inaruhusu hayo? I mean hayo masharti yapo kisheria? Na kama yapo kisheria yanatekelezwa kwa wazalishaji wote? Isije kua mtu anataka azalishe nyingi bei ishuke halafu wenzake wote wakifa abaki peke yake auze kwa bei anayotaka yeye, so lazima tuangalia kwa pande zote za shilingi