Akili finyu na wivu mwingi, Obama ni mjaluo na anaongoza taifa kubwa duniani na huwezi kusikia native yeyote wa America akimsema kwa asili yake labda tu amseme kwa tu kwa utendaji wake wa kazi, hivi unasubutu kuwatusi wanyamwezi hali yakuwa baba yako ni marehemu Matonya ombaomba. Use your head to think not MA------,Athank
Funguka mrembo, Dunia ni yako chaguo ni lako......Chagua Msukuma.....The only male species women hunt!!!
Shauri yako!!
Nani kawaroga wanyamwezi?
Blunder wanazofanya wanyamwezi ni za dhahiri mno ni kama vile wamekata tama ya maisha wanangoja wafe tu, uwezo wa kufikiri umeisha kabisa sasa wanafikiria kwa kutumia magoti ndiyo hiyo inapelekea wanafanya grave mistakes.
Grave mistake ya kwanza
Haiyamkiniki kabisa kumchagua Aden Rage kuwa eti mbunge wa Tabora mjini centre ya wanyamwezi, Aden Rage ni msomali,matatizo ya wanyamwezi anayajua mnyamwezi mwenyewe bila kuelezwa na mtu, matatizo ya wasomali anayajua msomali mwenyewe bila kuelezwa na mtu, hapa msije mkaniletea suala la ubaguzi,ni kwamba kila kazi ina qualification,Rage hana qualification za kuwa mbunge wa kabila tukufu kabisa la wanyamwezi wa utemi wa unyanyembwe, ila kama Tabora mtahitaji mtu wa utapeli tapeli, na brabra, na uswahili mwingi na maneno maneno basi Rage ndiyo anafaa. Mnyamwezi mmelinajisi bunge letu kwa kumpitisha huyo kuwa mbunge, ni haki bunge la sasa kuwa halina heshima shauri ya hizo njaa zenu mwanyamwezi.
Grave mistake ya pili.
Ni eti kumtambikia Lowassa kwenye kaburi la Mtemi shujaa Issike Mwanakiyungi,Lowassa hasitahili kabisa heshima kama hiyo yeye siyo rais ,wala waziri mkuu, uwaziri mkuu alijihuhuzuru tena alijihuhuzuru siyo kwa uzuri kwa kashifa nzito, leo eti mnampeleka mtu kama huyo akalinajisi kaburi la shujaa kama Yule kwa lipi alilofanya? ni uvivu wa kufikiri kabisa, kama ni njaa basi mje kwetu Dodoma kuna chakula cha kutosha tuwagawieni kuliko kufanya vitu vya aibu nama hii.
Enyi wanyamwezi msiendekeze njaa zenu, njaa mbaya, njaa ndiyo kuwa inamfanya mtu aazirike haraka sana, njaa zenu zutawauwa.
Funguka mrembo, Dunia ni yako chaguo ni lako......Chagua Msukuma.....The only male species women hunt!!!
Shauri yako!!
ninae mkurya chaguo langu
kwa kujipigia pande uko juu. LOL
Ujue hili ni jukwaa la siasa si LOVE CONNECT
Pilipili usoila yakuwashiani sisi tumemchagua na tutaendelea kumchagua unless otherwise abadilike awe na sera ambazo si zetu.mchangia mada na wewe usiwe --------Wewe usiwe mpumbafu mtoa mada kaeleza wazi kabisa kwamba huyo msomali hana Qualification za kuwa mbunge Obama anazo qualification za kuwa Rais , qualification anazofaa huyo mbunge ni za maneno maneno, sasa kwali watu wa Tabora wanahitaji mtu wa maneno maneno.
Nitakuletea box la first aid pole sana.
Lakini kabla sijasahau, ujue kule pia kwetu!!
Nyie ndio madada nuksi :doh: ............Wewe si unaona hambohambo anaanza kuelewa somo.
Mwache huyo mtoto ale "mzigo" wa Msukuma wa Kaskazini!
Pilipili usoila yakuwashiani sisi tumemchagua na tutaendelea kumchagua unless otherwise abadilike awe na sera ambazo si zetu.mchangia mada na wewe usiwe --------
Nitakuletea box la first aid pole sana.
Lakini kabla sijasahau, ujue kule pia kwetu!!
Nyie ndio madada nuksi :doh: ............Wewe si unaona hambohambo anaanza kuelewa somo.
Mwache huyo mtoto ale "mzigo" wa Msukuma wa Kaskazini!
Mwenyezi Mungu atuepushe na WACHAGA, marehemu Baba wa Taifa aliishasema hawa jamaa hawafai ata kidogo, alipowekwa Mzee mbowe kuwa mkurugenzi wa Tra, alijaza wachaga Tra hadi Nyerere akamwamuru astaafu au afukuzwe. si watu hawa jamaaIla mimi nasema Mungu atuepushe na CHAMA CHA MAJAMBAZI(CCM)maana toka uhuru wametunyonya sana na kuyafanya maisha ya wana-Tabora kuwa magumu sana.
Hongera sana Mtani umetupasha tukapashika Mimi nataka kusema wazi kuwa Aliyeturoga ni Mwarabu wakati ule wa Biashara ya Utumwa hapo ndipo mambo yalipoanza kutuharibikia mpaka leo hii hali ni mbaya sana Maendeleo hakuna wala Mwamko haupo watu wanakaa-kaa tu Ki-Mwinyi ni aibu kweli Aden Rage!!!!!!!ni Aibu sana tuombe Mungu atusaidie tuamuke toka Usinginzi tuliolazwa na Waarabu enzi hizo.
Blayi wa Mpwapwa natumai sisi Wasukuma hujatuunganisha na Wasukuma wa Kusini (Wanyamwezi)!! La sivyo shingo yako ni halali yetu!
Nimesoma mada lkn nimetoka kappa ngoja niendelee kusoma michango ya wapendwa. Af wewe umepotea sana