Crashwise JF-Expert Member Joined Oct 23, 2007 Posts 22,227 Reaction score 8,760 Oct 4, 2011 #201 Wasukuma wanajua kutunza familia zao yaani wanajua kupenda......
gwino JF-Expert Member Joined Nov 19, 2010 Posts 333 Reaction score 47 Oct 4, 2011 #202 Kuna matabaka 7 Wasukuma ,wanela,wakwimba,wanyantuzu na .....malizia hapo .
I Ikunda JF-Expert Member Joined Jul 12, 2010 Posts 718 Reaction score 152 Oct 4, 2011 #203 Crashwise said: Wasukuma wanajua kutunza familia zao yaani wanajua kupenda...... Click to expand... yeah, tupo pamoja 100 kwa 100.
Crashwise said: Wasukuma wanajua kutunza familia zao yaani wanajua kupenda...... Click to expand... yeah, tupo pamoja 100 kwa 100.
I Ikunda JF-Expert Member Joined Jul 12, 2010 Posts 718 Reaction score 152 Oct 4, 2011 #204 Nyani Ngabu said: Acha kuzusha bana. Click to expand... lol, kuna uwezekano wewe ni Mnyantunzu.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,432 Oct 4, 2011 #205 Wasukuma only 4% ndo wana dini, the rest wanaabudu walwa, nyama na nyoo
A Ave Ave Maria JF-Expert Member Joined Apr 22, 2011 Posts 10,707 Reaction score 5,678 Oct 4, 2011 #206 Matola said: usije ukadhani tunazungumzia Wamarekani weusi! Hawa wa Tabora ni hopeless kabisa. Click to expand... hahahahaaaaa! With this post, imenibidi nicheke kwakweli! Lol!
Matola said: usije ukadhani tunazungumzia Wamarekani weusi! Hawa wa Tabora ni hopeless kabisa. Click to expand... hahahahaaaaa! With this post, imenibidi nicheke kwakweli! Lol!
kibali JF-Expert Member Joined Oct 3, 2011 Posts 504 Reaction score 425 Oct 4, 2011 #207 Safety last said: Makabila pendwa Tanzania Mchaga ,mhaya ,msukuma myakyusa !haya ndio yanafanya uchumi wa nchi ukue! Click to expand... Crap indeed!
Safety last said: Makabila pendwa Tanzania Mchaga ,mhaya ,msukuma myakyusa !haya ndio yanafanya uchumi wa nchi ukue! Click to expand... Crap indeed!
Beautiful Lady Senior Member Joined Jun 8, 2011 Posts 135 Reaction score 44 Oct 6, 2011 #208 Nazjaz said: jamani naomba kufahamishwa. Click to expand... wasukuma ni wakarimu, wapole, hawapendi ugomvi.
Nazjaz said: jamani naomba kufahamishwa. Click to expand... wasukuma ni wakarimu, wapole, hawapendi ugomvi.
feis buku JF-Expert Member Joined Aug 29, 2011 Posts 2,341 Reaction score 677 Oct 7, 2011 #209 Ni watamu
Kiranja Mkuu JF-Expert Member Joined Feb 18, 2010 Posts 4,362 Reaction score 4,934 Oct 7, 2011 #210 Nazjaz said: jamani naomba kufahamishwa. Click to expand... kama unataka wanawake wanaotahiriwa nenda singida,dodoma, manyara, na kilimanjaro. Ukitaka wanaume wasiotahiriwa nenda Bukoba na mbeya
Nazjaz said: jamani naomba kufahamishwa. Click to expand... kama unataka wanawake wanaotahiriwa nenda singida,dodoma, manyara, na kilimanjaro. Ukitaka wanaume wasiotahiriwa nenda Bukoba na mbeya
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,351 Reaction score 13,140 Oct 11, 2011 #211 Kiranja Mkuu said: kama unataka wanawake wanaotahiriwa nenda singida,dodoma, manyara, na kilimanjaro. Ukitaka wanaume wasiotahiriwa nenda Bukoba na mbeya Click to expand... Wasio na dini ndio hawafanyi hivyo tizama bushman walivyo Jamii hii hupenda wanawake weupe Neno kumbwa walipendalo ni Moja kwa Moja
Kiranja Mkuu said: kama unataka wanawake wanaotahiriwa nenda singida,dodoma, manyara, na kilimanjaro. Ukitaka wanaume wasiotahiriwa nenda Bukoba na mbeya Click to expand... Wasio na dini ndio hawafanyi hivyo tizama bushman walivyo Jamii hii hupenda wanawake weupe Neno kumbwa walipendalo ni Moja kwa Moja
Mlaleo JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 16,351 Reaction score 13,140 Oct 11, 2011 #212 feis buku said: Ni watamu Click to expand... Mh! Faisbuk
Fighter JF-Expert Member Joined Aug 30, 2009 Posts 615 Reaction score 153 Oct 11, 2011 #213 Nyani Ngabu said: Tuna akili sana. Tuna maguvu sana. Wasichana wetu ni wa ukweli. Tunapenda sana nyama. Tunapenda sana viazi. Click to expand... Well said NN to add few Sio materials Wanapenda ki ukweli Heshima iko juu awezi tamka kitu ovyo ovyo Watu wa peace
Nyani Ngabu said: Tuna akili sana. Tuna maguvu sana. Wasichana wetu ni wa ukweli. Tunapenda sana nyama. Tunapenda sana viazi. Click to expand... Well said NN to add few Sio materials Wanapenda ki ukweli Heshima iko juu awezi tamka kitu ovyo ovyo Watu wa peace