Wanyama ndani ya picha moja!..

Wanyama ndani ya picha moja!..

Mbu kwenye paja la Tembo.
 
Kuku ni masikio ya Punda
 
Uongo mtupu. Hamna kitu hapo inawezekanaje paka akae na panya kirahisi? Hawa wawili hawajawahi kukaa pamoja.
 
Kwa elimu ya la saba hawawezi kuwa wanyama ila Kwa elimu ya secondary wanakuwa wanyama Kwa kuwekwa kwenye kingdom
Acha uongo mkuu mimi shule ya msingi nimefundishwa viumbe hai vimegawanyika katika makundi mawili ambayo ni wanyama na mimea sasa kambale ni mmea?
 
NYOKA yule Mkiani kwa TEMBO kafungua kadomo kake
 
Back
Top Bottom