Wanyama ndani ya picha moja!..

Wanyama ndani ya picha moja!..

Kuna tembo, farasi, mbwa, paka, panya, nyoka (mkia), mbu (mweupe hapo pajani kwa tembo), samaki (mkonga wa tembo), sikio la tembo huyo nae ni mnyama ila simjui jina pamoja na pembe zake tembo.
Ninejaribu
 
Back
Top Bottom