Culture Me
JF-Expert Member
- May 24, 2017
- 10,494
- 21,444
Paka na Mbwa hulia sauti ya ajabu chunguza wanakua kwenye kile kipindi chao cha joto a.k.a kupandiana.... milio ile hua wanatoa kwa sababu wana communicate maana mbwa/paka dume hulazimika kwenda mbali kutafuta majike na bado inabidi wagombanie kupata ile chance ya ku... lol
atleast kwa Paka kidooogo anakua na girlfriend wake 'pamanent'..... pia milio ile ya paka unaweza kuona ya kutisha kumbe wenzako wanakua kwenye lisebene maana Paka wana enjoy sex kama binaadam....
Kuhusu Bundi sijui, mpaka umri huu sijawahi kumuona huyo ndege live japo natamani sana.