7ve
JF-Expert Member
- Feb 1, 2014
- 1,569
- 4,465
Kuna baadhi ya wanyama kama ulio wataja hapo huweza kuona roho za binadamu walio kufa Kwa hiyo wanaona kila kitu kinavyo enda pale roho za binadamu zinavyo uacha mwili hasa hawa wanyama wa nyumban kama paka na mbwa.Nishawai kusoma somewhere paka alikuwa pembeni ya kitanda cha jamaa ambae alikuwa hoi anaumwa muda jamaa anakata kamba paka akacheza nayo sana roho ya jamaa yaani dizaini kama paka anacheza na mdudu hivi kwenye sakafu kama dakika mbili hivi ile kumcheki jamaa ameshafariki.