Wanyama hawa hutabiri vifo vya wanadamu

Wanyama hawa hutabiri vifo vya wanadamu

haya mambo kiimani yana work sana. wataalam wa imani wanasema wanyama kama mbwa usiku wanaona sana ndo maana wanyawi hawampendi kabisa mbwa. hata hivyo kuleta madhara inategemeana na imani yako. Ukiwa imara katika imani yako ya dini unayoiamini, hayataweza kukudhuru. kama unaamini katikani imani za jadi hakika utadhurika usipochukua taahadhari. kwa mkristo aliyesiomama hata wangelia mara elfu hakika hautaathirika. katika uislam sijui maana mimi siyo uumuni huko.
 
Inawezekana wana uwezo ambao unawawezesha kuona mambo mabaya yanapokuwa yanatufuatilia binadamu,ila sina uhakika kwani sina ushahidi wowote juu ya hili,ingawa nakumbuka wakati nikiwa mdogo kuna ndugu yetu alikuwa mgonjwa sana,na wiki moja kabla ya kufariki kwake bundi walikuwa wanalia sana,ingawa pia eneo tulilokuwa tunaishi wakati huo lilikuwa ni pori mabundi yalikuwa mengi sana kwahiyo sijui ilikuwa ni coincidence au yawezekena hiyo myth ina kaukweli flani..?
Kabla mtu anapoanza kufa seli huanza kufa taratibu Bundi anauwezo kwa kuzinusa na kufahamu Ni mzoga ndio maana Bundi huusishwa na ushirikina

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ngombe pekee ndio anayetabiri kifo na pia ni mnyama pekee anayeweza kutambua maiti ktk umbali mrefu, akifuatiwa na Mbwa huu ni uchunguzi wangu binafsi, miaka ya nyuma nilishuhudia hili si chini ya mara tano.. na namheshimu sana huyo mnyama pia Ng'ombe anatumia Bangi, kwa kula ama kuvuta moshi utokae kwa mtumiaji na Ng'ombe wa namna hii wanaojua hii kitu humtumia kuwachunga ngombe wenzake yaani wewe unaweza wafungulia ukaendelea na shughuli zake yeye akawaongoza wenzake malishoni na jioni akawarudisha wote, inahitaji akili ya ziada kunielewa, pia Nyoka nae anapendelea moshi wa Bangi, kujua haya yote lazma uwe na upeo wa ziada.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna siku mbwa walikuja kulia kwangu. Mlangoni kabisa. Watu wakasema, kuna shida inakujia. Mwaka wa pili huu unakatika, hakuna cha shida wala Mwajuma.
Itakuwa house girl alichoropoa mimba chunguza
 
Updates: Paka nilie mjeruhi. Leo SAA 12:07pm usiku amekuja mbwa mweupe akajichanganya kutafuta msosi si mbwa mnyama ni MTU.Nilicho mfanya atakwenda kusimulia huko nilimpatia topito ya jicho ametoka akijiburuza asubuhi nyumba ya saba kuna NTU anaumwa ghafla nitatembea huko nikathibitishe.
Sasa ushaniumiza unakuja kuntangaza huku Tena, haya bwana
 
Kuna siku mbwa walikuja kulia kwangu. Mlangoni kabisa. Watu wakasema, kuna shida inakujia. Mwaka wa pili huu unakatika, hakuna cha shida wala Mwajuma.
Hukutumbuliwa kwa kufoji vyeti mkuu?
 
... nyumbani pana mti mmoja mkubwa na wenye kiza sana ambao toka enzi na enzi ni makazi ya bundi. Tunasifu sana uumbaji wa Mungu kwa sauti zao.
 
Back
Top Bottom