Wanyama hawa hutabiri vifo vya wanadamu

Wanyama hawa hutabiri vifo vya wanadamu

Mambo ya kizamani hayo mbona mbwa na paka wa ulaya hawalii na watu wanakufa tu .. kufa kupo tu.
 
Kwetu kuna panya buku wakubwa kama usawa wa paka na huwa wanaonekana usiku tu,siku mkimuona mchana tu haichukui muda atakufa mtu.ni kitu ambacho nimeshafanya utafiti na zaidi ya mara 8 nimewaona na kweli tunazika.
 
Basi tungekuaa tushakufa wote kwangu huu ni mwaka wa pili mapaka yanalia kama watoto mimi sio muoga huwa natafuta kujua why wanalia hivyo nikaja kujua ni kipindi fulani baada ya kipindi fulani. Wakati paka jike akiwa kwenye heat huwa wanafuatwa na madume so hivyo ndivyo hulia wakati huo.
 
Habari wana Jf.
Naandika bandiko hili baada ya kufanya utafiti Kwa muda mrefu.

Mbwa, paka, bundi wanapolia usiku Kwa sauti ya ajabu kama sauti za wanadamu wanaolia Kwa uchungu hutabiri kitu.

Utafiti umenithibitishia juzi mbwa na bundi walilia sana usiku Kwa mfululizo Jana tumezika MTU mtaani kwetu. Hali hii imekuwa ikitokea Mara Kwa Mara wanyama na ndege huyo wanapolia.

Mbwa hulia Kwa kuweka mdomo juu.Paka hutoa sauti isiyo ya kawaida Kwa kubana koo lake. Bundi hutoa mlio Kwa sauti nene yaani bass.

Mwenye zaidi karibuni
ki imani tunaweza kusema kweli hata kisayansi kuna baazi ya vitu utumia wanyama.
mnyama anaweza kujua mapema jambo lolote kabla binadamu mfano kama kutakuwa na tetemeko au majanga ambayo ya nasabishwa na dunia,utaweza kumuona mnyama yoyote siku hiyo labda hakose pa kutokea.kuna siri kubwa ambayo mwenyezi mungu kawapa wanyama ambayo kuona yale tunayo yasema,lakini kuto wapa kuongea tu.
 
Kuna wanyama huishi kwa kula mizogo hivyo wamewekewa uwezo wa kutambua miili iliyokufa/au iko asilimia fulani mfu.
 
Zamani tulikuwa tunaamini hivyo ila baada ya kufanya utafiti kwa Paka mara nyingi sauti ile huwa inatolewa na Dume wanapogombea Jike, ama Jike linapokuatana na Dume ambalo sio la hadhi yake!!!
 
Siku baba yangu mzazi anafariki usiku mbwa walikua wanalia sana mpaka mdogo wangu akawa analalamika kua hawa mbwa c kawaida kulia hivyo usiku huohuo baba yangu alifariki Rip my dady
Duh! Mtafute Mshanajr akusaidie katika hilo.
 
hata mimi marehem mama yangu wakati anafariki walikuja paka walilia milio sio ya kawaida siku ya pili yake mama angu anafariki mungu mlaze mahala pema peponi
 
  • Thanks
Reactions: 7ve
Kuna mambo mengi yamejificha ambayo binadamu hatuyajui.

Kama mnakumbuka el nino wanyama wengi walihama sehemu za tukio kabla hata tukio halijatokea
Wanasayansi hawakulijua hilo mpaka lilipotokea.
Ukiona wanyama wanakimbia bora uwafuate tu you never know
 
kipindi cha tsunami mbwa na ndege waliondoka eneo la tukio siku mbili kabla.........yawezekana kuna logic flani hapo
 
Na kuna watu wanavipaji wanaweza kutoa milio ya wanyama hao, vp nao wakilia?
 
Ziko imani zingine unaweza kuzieleza kisayansi 1.Ukifuga kondoo anasaidia kuzuiya radi 2.Mwanamke akila mayai sana wakati wa uja uzito atazaa mtoto hana nywele kabisa
MAELEZO:-
1.Chukua ruler ya plastic isugue kwa kutumia pamba au mkono wako kisha kata vipande vidogo vya karatasi.Sogeza hiyo ruler vipande vitajinasa kwenye ruler kama sumaku.Kwanini? hiyo ni static electricity.Kondoo ana manyoya mengi anapotembea anajisugua kwenye ukuta mbao na miti wakati akifanya hivo bila kujua mwili mzima manyoya yake yanakuwa na charge za chanya(positive).Radi inapopiga mahali karibu na kondoo kondoo anarushwa mbali sana na sehemu hiyo kwasababu chaji za chanya za mawingi zinatafuta mahali pa kushukia sasa kwa sababu zinafanana na manyoya ya kondoo zinamfanya kondoo ana repel maana ni like charges.Hivo radi inaposhindwa mpiga kondoo inatafuta kitu kingine karibu ili zile charge ziende ardhini kwenye charge hasi.Ukikuta kondoo amekufa kwa radi sio radi iliyomuua bali ni kule kubamizwa mbali kule anakojigonga.Kwa utafiti chunguzeni sana wakati wa mawingu mengi sana mvua inapotaka kunyesha kondoo unaweza wakuta wameinamisha vichwa vyao wanaangalia chini kimya sana.Sababu wanapata msukosuko wa charge za manyoya yao kufanana na mawingu yanayopita angani hivo wanakosa raha sana.
2.Mwanamke akila mayai sana mtoto atakuwa mkubwa sana hivo mwanamke atazaa mtoto mkubwa sana atashindwa kutoka mama anaweza kufa kumbuka zamani kulikuwa hakuna operation ya mtoto.Babu zetu mungu aliwaongoza sayansi hii bila ya wao kujua.Siku hizi wanawake wengi wanajifungua kwa kisu sababu mila hii haipo wao chips mayai nyama kujifungua inakuwa tabu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom