Wanunuzi wa mpunga/mchele karibuni

Wanunuzi wa mpunga/mchele karibuni

vipi heka 200 zinapatikana..?
bado sijajua sababu mimi mwenyewe sikua mwenyeji ila kule kuna mashamba ya watu tofauti tofauti wapo wenye heka 10, wengne 20 na kuendelea hvyo naamini unaweza kupata hizo heka japo nahisi inaweza kua ktk maeneo tofaut tofauti
 
kuna watu mnajua kumzidi hata Mungu, kipindi kulikuwa na mafuriko sana yaliyopelekea kupotea mpunga mwingi katika mashamba, so si ajabu kuona hesabu zake zinakwenda hivyo.

mimi binafsi namuunga mkono kwa hesabu zake..kwani nimelima kwa miaka mingi na bado ninalima mpunga mpaka sasa.
Mkuu mashamba yanapatikana vp na kukodi ni bei gani kwa heka
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom