Wanunuzi wa mpunga/mchele karibuni

ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
385
500
mimi ni mkulima mdogo mdogo nafanyia shughuri zangu za kilimo mkoan Morogoro wilaya ya Mvomelo maeneo ya manungu tulian (karibu na kiwanda cha Mtibwa suger), nimelima mpunga heka sita (6) na umezaa vizuri mno, nategemea kupata si chini ya gunia 70 mpaka 100 za mpunga, nategemea kuanzia jumamos ijayo nianze kuvuna hivyo nakaribisha wanunuzi wa mpunga na mchele tufanye biashara na nategemea kupeleka jijini dar es salaam kufanyia biashara huko hivyo kama wewe ni mnunuzi huko dar au hata kama huku huku morogoro nakukaribisha pia
contacts.
0621038229.
0784133449.
0679670906.
eliusmoris2@gmail.com
 
ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
385
500
unategemea kuuza bei gani, naweza kukusaidia kuuza kama nitaona kuna maslahi !
inategemea we unataka kununulia wapi, hapa hapa morogoro au dar es salaam? maana kuna nitakaouza hapa moro na mwengine nitakoboa na kuupeleka dar es salaam kwajili ya mauzo hivyo bei itategemea na wewe unapotaka kununulia
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,600
2,000

Wingi wa maneno unatuchosha.
Andika :-
Nikifikisha Dar kwa gunia la debe 6
Mpunga Sh.......
Mchele Sh.........

Ukiufuata morogoro kwa gunia la debe 6
Mpunga... ...
Mchele.......
 
ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
385
500
Wingi wa maneno unatuchosha.
Andika :-
Nikifikisha Dar kwa gunia la debe 6
Mpunga Sh.......
Mchele Sh.........

Ukiufuata morogoro kwa gunia la debe 6
Mpunga... ...
Mchele.......
kwa wanunuzi wa huku morogoro nitauza. mpunga tu na gunia la mpunga (debe 7) ni tsh 65,000, nitauza gunia 15 au 20 ili nipate ela ya kusafirishia mchele kupeleka dar es salaam, na kwa dar es salaam nitapeleka mchele na bei itakua ktk makund mawili makuu,
(1) mchele utokanao na mpunga mkubwa (super) nitauza tsh 160,000 kwa gunia yani kilo 102.
(2) mchele wa mpunga mdogo (huku wanauita saro) ni tsh 120,000 kwa gunia yan kilo 102.
NOTE,
bei hizi zinaweza kubadilika kulingana na soko litakavyokua wiki nitakayopeleka bidhaa sokon maana jumamosi hii ndio naanza kuvuna.
Mbabaishaji tu huyu jamaa

Mkuu unashindwa nini kuweka bei ya kugunia/debe la mpunga
 
jogi

JF-Expert Member
Sep 25, 2010
25,600
2,000
kwa wanunuzi wa huku morogoro nitauza. mpunga tu na gunia la mpunga (debe 7) ni tsh 65,000, nitauza gunia 15 au 20 ili nipate ela ya kusafirishia mchele kupeleka dar es salaam, na kwa dar es salaam nitapeleka mchele na bei itakua ktk makund mawili makuu,
(1) mchele utokanao na mpunga mkubwa (super) nitauza tsh 160,000 kwa gunia yani kilo 102.
(2) mchele wa mpunga mdogo (huku wanauita saro) ni tsh 120,000 kwa gunia yan kilo 102.
NOTE,
bei hizi zinaweza kubadilika kulingana na soko litakavyokua wiki ijayo maana jumamosi hii ndio naanza kuvuna.
Asante, najipanga ukifika town angalau nichukue gunia 2.
 
ELIAS MICHAEL MORRIS

JF-Expert Member
Sep 26, 2016
385
500
Mkuu masbamba ya kumwagilia naweza pata?
kwakweli bado sijajua kama yanapatikana maana huku tunategemea zaidi mvua, hakuna mito ya kugumu yani kipindi cha mvua mito hujaa maji kweli na huwa mikubwa tu ila kufikia mwezi wa 9 mpaka wa 10 mito yote ukauka na kua pakavu kabisa yan adi matrekta na vyombo vyengine vya moto huweza kutembea mashamban
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom