Wanunuzi wa mpunga/mchele karibuni

Heka 6 gunia 70 mpaka 100 kweli? Wewe unacheza sio mkulima, mkulima wa kweli kila heka 1 gunia zaidi ya 45, Hivyo heka 6 ni zaidi ya gunia za mpunga 270.

Bila kuweka sawa hesabu nakuona tapeli mkuu kweli tena.
Mwaka jana nililima heka 5 nkapata gunia 55 ndo hivyo mkuu na kilimo chetu cha kibongo kisichofuata ushauri wa kitaalam nguvu kubwa mavuno kidogo this yr nimelima heka 7 nasikilizia ntapata gunia ngap
Karibuni Kilosa
 
Tena huyu anajitajidi kuna mahali idadi ni ya magunia ni chini ya hapo
 
Mi nanunua niko mdibule, kama hutojali nichki ktk 0714588737
Tutafanya biashara
 
Sijawahi kujali hayo makitu ,wakuu 3m ukijumlisha na gharama za pembeni itanilipa au mtaji uwe mkubwa zaidi?
 
Bonde la usangu ukilima eka 1 gunia 30 ukifanya uzembe sana 25.. Assume umelima eka 6. 30*6=180

Ila bei ya sasa ndio utakimbia 110,000/gunia.

Sijui huko kwenu changamoto ni nini
 
Heka 6 gunia 70 mpaka 100 kweli? Wewe unacheza sio mkulima, mkulima wa kweli kila heka 1 gunia zaidi ya 45, Hivyo heka 6 ni zaidi ya gunia za mpunga 270.

Bila kuweka sawa hesabu nakuona tapeli mkuu kweli tena.
Gunia 45 kwa heka 1 kwa kilimo cha kutegemea mvua si kweli hata kidogo. Yeye anauza kile ambacho atapata, kama gunia 5 au 10 ndicho atakachouza.
 
Bonde la usangu ukilima eka 1 gunia 30 ukifanya uzembe sana 25.. Assume umelima eka 6. 30*6=180

Ila bei ya sasa ndio utakimbia 110,000/gunia.

Sijui huko kwenu changamoto ni nini
bonde la usangu liko wapi hilo ndugu?, i mean liko mkoa gani?
 
Aiseee me hata nlikua na,shda na
Mchele lakin kwa hzo hesabu zake
Za hekar 6 gunia 70
Haziingian kabsa

Huyu kuna ambao hata waacha salama
Nikweli anachosema nipo morogoro pia navuna mpunga tuna heka 5 lakini mpunga ni km gunia 60 ...hatutumii madawa wala mbolea ya kiwandani ukipanda ni kung'olea na kuvuna
 
Back
Top Bottom