Wanunuzi wa mchele/mpunga karibuni

Wanunuzi wa mchele/mpunga karibuni

Uncle Mabiki

Senior Member
Joined
Sep 22, 2018
Posts
139
Reaction score
203
Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000

Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya

Call: 0762693368
Whatsap: 0762693368

IMG_20200426_142743.jpg
 
Hueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300
 
Mkuu wasukuma huwa hatujui tofauti ya mchele na mpunga,Mimi mwenyewe wakati mwingine huwa nachanganya sana,maana huku usukumani wali wanaita mchele ,mpunga wanaita mchele ,ila najua jamaa kamaanisha mpunga
Hueleweki, hiyo 70000 ni gunia la mpunga ama mchele wenyewe? Maana hapo chini umetaja bei ya mchele kg moja 1300

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani inashindikana nini bei jumla kilo kuuzwa shillingi mia 7 uki zidisha na 100 unapata jawabu


It is never to late to begin. Start now
 
Wakuu nina biashara ya mchele pamoja na mpunga huku mkoani Tabora.
Gunia la mpunga kwa huku nauza 70000

Mchele nauza 1300 kwa kilo kwa huku
Nipo Nzega Tabora
NB:Mchele wa Tabora na Shinyanga ni mtamu na mzuri sana ingawa unaoamika zaidi ni wa Mbeya

Call: 0762693368
Whatsap: 0762693368

Mkuu hiyo bei kubwa sanaaaaaa,
Njoo mwanza wilaya za misungwi na kwimba sasa hivi 35000-40000 gunia la mpunga. Huku mpunga kama mchanga ,kilo hadi 1000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli maana nzega hapa Tabora vijana wakila harusini,wanasema tumepiga mpunga na chai


Hapo zamani walifululiza kula ugali wa mahindi na maselena, kwahiyo bado kaushamba wanako, badala kusema wali wao wanasema "Mpunga"
 
Back
Top Bottom