Wanunuzi wa kuni za Jumla wanatakiwa

ROKY

Senior Member
May 4, 2011
182
70
Hi wana JF wote,

Natafuta wanunuzi kuni za jumla.

Nina mashamba mapya nayasafisha, hivyo kuna miti mingi sana kwa ajili ya kuni.
Eneo yalipo mashamba hayo ni mkoa wa Pwani, umbali wa kilometa 100 toka DSM.
Bei ya kuni ni maelewano tu na wanunuzi.

Wana JF naomba mnipe contacts za wanunuzi watakaonunua kuni hizo kwa jumla.

Mawasiliano yangu ni:-

Voda 0754-310981
Airtel 0789-310981
Tigo 0658-310981

Thanks in advance.
 
Ni kuni kwa maana ya size ya fito au kuna size kubwa zaidi?
kama una size kubwa ni rahisi kupata mteja.
 
Ni kuni kwa maana ya size ya fito au kuna size kubwa zaidi?
kama una size kubwa ni rahisi kupata mteja.

Kuni karibu zote ni size kubwa, ukubwa wa wastani wa kipenyo (diameter) cha inch 4 na kuendelea.
Maeneo hayo tunayusafisha mashamba mapya ni maeneo yenye mapori makubwa amabyo hayajawahi kulimwa, hivyo miti yake mingi ni mikubwa sana. Miti yote hii ni miti ya asili.
Pia kuna miti mikubwa inayofaa kwa kupasua mbao (lakini hii sio mingi sana).
Hivyo miti ya kuni ni mingi sana na ni mikubwa ya kutosha kabisa.
 
Back
Top Bottom