Wanu Ameir: Wahitimu jikiteni katika kujiajiri

Wanu Ameir: Wahitimu jikiteni katika kujiajiri

Umemaliza Kila kitu ,Uzi ufungwe
yeye hakuona umuhimu wa kujiajiri, but anataka sisi ndiyo tujiajiri tu, simjui in neither out, so is she,hatujui in nor out, but ana tupangia cha kufanya, the only thing I know ni kwamba yeye alipambana kufa na kupona ili aipate ajira aliyonayo sasa
 
Watanzania wanateswa sana na hawa viongozi uchwara. Ukweli mchungu ni kuwa, hawa viongozi uchwara wamekuwa wabaya zaidi ya hata wakoloni na wanaogopa sana sauti za ukweli.
 
Ukweli gani
Kaongea ukweli
Upumbavu mtupu! Kama ni kujiajidi hizo fedha tulizotumia kuwasomesha ndio zingetumika kama majukumu. Na kama sio wananchi kupeleka watoto mashuleni hata hiyo nafasi aliyopewa na mama yake isingekuwepo. Maana kusomesha kwetu ndio kumefanya hiyo wizara ambayo yeye ni n/Waziri iwepo. Muhimu waacche ufisadi na kuchezea Kodi zetu,waanzishe viwanda na miradi mingi,ajira zitakuwepo kwa wahitimu
 
Yuko sahihi kabisa maana nafasi zote wamepeana ukoo wao, mume ndugu jàmaa na marafiki etc etc...all vacancies occupied!


View: https://www.instagram.com/reel/DSUAFGZjOlr/

IMG-20251217-WA0002.jpg
 
Hii nchi kumamakeh unaweza ua mtu hivi hivi!!! Haya nyie endeleeni tuu kututafuta majambo.......
 
D25 tupite na wajinga kama huyu n/waziri pamoja na machawa wao
 
Kavideo kana dakika 1:37 lakini kukaangalia kote inahitaji moyo.. Nimeshindwa kabisa.
 
Huu uzi lazima aje kubwabwaja yule jamaa ambaye kuna picha ya demu kwenye profile yake na kitambo watu walijuaga ni manzi
 
Back
Top Bottom