Alikeni makampuni ya nchi za nje kwa wingi yaje kuwekeza yaajiri watu, kama nyie mmeshindwaNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.
Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.
Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Nimpe bodaboda yangu halafu yeye anipe uwaziri?Kaongea ukweli
Atuache, tunajua cha kufanya ili tusurviveHuo ujumbe ni maalumu kwa nyie Ambao hamna connection na network na hamtoki silver spoon family.
Wapiga kura wake wasingempa ajira angejiajiri.Mbona yeye hajajiajiri wakati hata mtaji akitaka ni kuchota tu kutoka hazina
Yeye amejiajiri wapi? Anachangia nini kwenye maendeleo ya nchi wakati hata kodi tu ya mshahara halipi? Asitupangie,tutaamua wenyewe, kwanza tumesoma kwa hela zetu wenyewe, yeye nini kimemzuia kujiajiri kama ni rahisi kama anavyodhani? Huyu si ndiyo alikuwa na mchango 0 kwenye bunge lililopita? Aende huko nyau.Popote mtakapokuwa hakikisheni mnajiendeleza katika taaluma zenu ili kwenda sambamba na mabadiliko mbalimbali ya teknolojia yanayotokea duniani
Keep scoring Wanu
Video yake ina dakika almost mbili so ameongea vitu vingi mbona umeng'ang'ania hiyo point ya kujiajiriYeye amejiajiri wapi? Anachangia nini kwenye maendeleo ya nchi wakati hata kodi tu ya mshahara halipi? Asitupangie,tutaamua wenyewe, kwanza tumesoma kwa hela zetu wenyewe, yeye nini kimemzuia kujiajiri kama ni rahisi kama anavyodhani? Huyu si ndiyo alikuwa na mchango 0 kwenye bunge lililopita? Aende huko nyau.
Angekuwa kaandika yeye ningempa dislike nyekundu ileNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.
Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa,
ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa
za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.
Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Akili za mama, like mom like daugher!.Akili za wap hizi
Nimeishika hiyo kwa sababu ndiyo day order ya watawala, yeye hakuona umuhimu wa kujiajiri, but anataka sisi ndiyo tujiajiri tu, simjui in neither out, so is she,hatujui in nor out, but ana tupangia cha kufanya, the only thing I know ni kwamba yeye alipambana kufa na kupona ili aipate ajira aliyonayo sasa, kuhusu ibada ni irrelevant, mkatoliki hapaswi kunishauri mimi msabato nika busu sanamu ya bikira Maria, japo kwa wakatoliki ni relevant.Video yake ina dakika almost mbili so ameongea vitu vingi mbona umeng'ang'ania hiyo point ya kujiajiri
Mfano mimi nikiwa sifanyi ibada na unafahamu hilo nikija kukuhimiza kuwa ufanye ibada nakuwa nimekosea??.Kwani alichoshauri Wanu ni kibaya
Unamjua Wanu In and Out Mkuu au unamuonaga juu juu tu?
Unajua ametengeneza ajira kwa watu wangapi?kupitia ajira yake hiyo.Umeangalia PAYEE tu mbona kodi zingine hujaangalia.Inawezekana tena akawa analipa kodi kubwa kwa mwaka wa fedha hata wewe humgusi