Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,346
- 7,172
Huyu mtu wenu hajaelimika.
Huyu mtu wenu hajaelimika.
😄Hivi huyu kweli ana PhD ya uchumi? Na alipita shule maalumu akiwa secondary?
Mbona ni mweupe kabisa kichwanii.
Traab na Traat ni janga kuu nchini. Lol
Hatariiii.
Kuna namna tu hata sisi tunaoongozwa na watu wa aina hiyo hatupo sawa sawa😁Hatariiii.
Sisi tuko sawa, useme labda baadhi wa watu/ kundi.Kuna namna tu hata sisi tunaoongozwa na watu wa aina hiyo hatupo sawa sawa😁
🤔 najiuliza sana wale watu wasomi , wenye busara wapogo wapi huwa sielewi hataSisi tuko sawa, useme labda baadhi wa watu/ kundi.
Si uliona tar 29?? Au umesahau mara hii Meku??
KmmkNaibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla.
Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya Teknolojia Dar es Salaam (DIT), ambapo amesisitiza kuwa serikali inaendelea kuchukua hatua mbalimbali za kuweka mazingira wezeshi kwa vijana wahitimu.
Amesema kuwa wahitimu wanapaswa kutumia kikamilifu maarifa, ujuzi na ubunifu walioupata wakati wa masomo yao ili kujenga fursa za ajira, badala ya kuendelea kusubiri kuajiriwa katika sekta ya umma.
Aidha amebainisha kuwa kupitia sera, mipango na programu mbalimbali, Serikali inalenga kuwawezesha wahitimu kutumia elimu yao katika kuanzisha miradi na biashara endelevu itakayosaidia kupunguza tatizo la ajira na kuchochea maendeleo ya kiuchumi
nchini.
Na wao wakishakaa uko wanakuwa kama wale tu, ule ni mtaji wa kupata maisha. Mwangalie Kabudi wa UD na Kabudi wa CCM? Hawafanani hata kidogo, Pia Kitila wa UD, DUCE na CHADEMA na Kitila wa CCM, Ni watu wawili tofauti kabisa.🤔 najiuliza sana wale watu wasomi , wenye busara wapogo wapi huwa sielewi hata
Mimi nilijua usomi unakuja na misimamo na kutoyumbishwa kwa namna yoyote ile🤔Na wao wakishakaa uko wanakuwa kama wale tu, ule ni mtaji wa kupata maisha. Mwangalie Kabudi wa UD na Kabudi wa CCM? Hawafanani hata kidogo, Pia Kitila wa UD na DUCE na CHADEMA sio Kitila wa CCM, Ni watu wawili tofauti kabisa.
Inapaswa kuwa hivyo, lakini kule usomi wake ni unafiki, ndio mtaji. Ukiwa msomi wa kweli na mwenye misismamo utauawa mapema au utatupwa kapuni.Mimi nilijua usomi unakuja na misimamo na kutoyumbishwa kwa namna yoyote ile🤔