wanu afidh ameir

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Wabunge waonesha ubunifu wa mavazi Bungeni, Wanu na wengine walivyotupia

    Ubunifu wa mitindo ya mavazi miongoni mwa Wabunge kwenye vikao vya Bunge umechukua nafasi yake Mitindo ya mavazi imeendelea kuchukua nafasi yake Bungeni, ambapo wabunge wamekuwa wakionesha ubunifu na upekee kupitia mavazi yao ya kisasa. Kuanzia suti kali hadi mavazi yenye mvuto, fashion...
  2. Damaso

    JamiiForums Tanzania Wizara ya Afya: Kuna watu wenye nia ovu wanaotumia jina la Waziri Mchengerwa kutapeli kuwa anaozesha mwanae

    Kurasa rasmi za Serikali zimekuwa jukwaa la familia ya Samia? Kurasa rasmi za serikali na wizara zake katika mitandao ya kijamii kama Facebook, X (zamani Twitter) na Instagram ziliundwa kwa lengo moja kuu: kuwahudumia wananchi kwa kutoa taarifa za sera, huduma, tahadhari na maamuzi ya serikali...
  3. DuaZaMama

    JamiiForums Tanzania Wanu Ameir: Wahitimu jikiteni katika kujiajiri

    Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Wanu Ameir, ametoa wito kwa wahitimu wa elimu ya juu nchini kujikita katika kujiajiri kama njia ya kutimiza malengo yao ya kiuchumi na kuchangia maendeleo ya taifa kwa ujumla. Ameir ametoa wito huo hii leo wakati wa mahafali ya 19 ya Taasisi ya...
  4. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania GE2025 Mtoto wa Rais Samia, Wanu Ameir: Tutanunua mashine za kuchimba makaburi Kizimkazi

    Mgombea Ubunge Jimbo la Makunduchi, Wanu Hafidh Ameir amesema Wananchi wa Kizimkazi wameomba Mashine maaalum za kuchimba Makaburi kutokana na ardhi yao kuwa ngumu ya Mawe hali inayowapa tabu wakati wa kuchimba hivyo kwa kushirikiana na Viongozi wenzake watakwenda kununua Mashine tatu ili kuondoa...
Back
Top Bottom