uttoh2002
JF-Expert Member
- Feb 3, 2012
- 14,732
- 26,579
tunaomiliki pisi kali tunaasilimia kubwa sana ya kuongoza kati ya watu wenye furaha nchini kama si ulimwenguni.
As if kumiliki pisi kali kila mtu hawezi
tunaomiliki pisi kali tunaasilimia kubwa sana ya kuongoza kati ya watu wenye furaha nchini kama si ulimwenguni.
Phycology haisemi hivyo aisee,anaweza kuwa pisi Kali lakini Hana charisma,kuna wanawake wana shape mbaya lakini ukiwa naye ni mtu mwenye furaha halafu ni story telling yaani huchoki kuwa naye.tunaomiliki pisi kali tunaasilimia kubwa sana ya kuongoza kati ya watu wenye furaha nchini kama si ulimwenguni.
Aghalabu pisi kali hujitosheleza kwa hayo uliyoyasema mkuuPhycology haisemi hivyo aisee,anaweza kuwa pisi Kali lakini Hana charisma,kuna wanawake wana shape mbaya lakini ukiwa naye ni mtu mwenye furaha halafu ni story telling yaani huchoki kuwa naye.
Weka picha upewe miongozo...