Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 11,132
- 23,123
Sio ngumu kuaapata na wala hawana mashart mengi nao wana macrush wao. Kuna hadi pisi mbovu zinaringa mkuu ila tu wanaume wengi akishaona pisi kali ilee basi anabadili njia za kumuingia matokeo yake dem nae anauona uoga wa jamaa juu yake ndo anazidisha maringo.