Wangoni wana matatizo gani???

Power G

JF-Expert Member
Apr 20, 2011
3,886
1,193
Siku moja wakati nikiwa napata moja moto moja baridi kwetu Tz. Nilimsikia jamaa mmoja akimwambia mwenzake "Mngoni bora umpe milioni mia atafikisha salama kuliko kumwamini kukulelea mtoto wako wa kike au kumsindikiza mkeo". Nikabaki najiuliza hawa ndugu zetu wana tatizo gani? Nisaidieni wana JF
 
tumechokaa
Na mathread yenu.

Ukabila ukabila ukabila

Ukabila ukabil ukabila

Mpaka lini jamani?
Mara wachaga,wakurya,wahaYA,WAKURYA
Aggh inakeraa!!!
 
Leo ni Wangoni na wazungu...wiki iliyopita ilikuwa Wachaga, Wahaya, n.k. Ujinga mbaya sana.
 
tumechokaa
Na mathread yenu.

Ukabila ukabila ukabila

Ukabila ukabil ukabila

Mpaka lini jamani?
Mara wachaga,wakurya,wahaYA,WAKURYA
Aggh inakeraa!!!

Asiye na utamaduni huyo ni mtumwa maisha yake yote,ukiona hivyo hakuna utambulisho hapo [Identity].Waache wasio watumwa wajikumbushe vituko vya makabila kudumisha vicheko vya tamaduni zao za makabila yao.

Pole sana Liitle X.
 
Katibu kata kumbilimbili anyi bia, katibu kata kumbilimbi anyi bia!!!!!!!!!!!!!!!!! Bonge ya songi usisikie hapo umepewa mgeni wa jirani binti umfikishe Dar kutoka Songea.
 
Wangon tunasakamwa hapa,juzi nimekuta stori za wangon hapa,yaani wangoni,wangoni wangoni,dar na tunanasibishwa na uzinz why?????
 
Wangon tunasakamwa hapa,juzi nimekuta stori za wangon hapa,yaani wangoni,wangoni wangoni,dar na tunanasibishwa na uzinz why?????

Mkuu maana ya jokes ni utani,na moja ya mambo uatakayokutana nayo huku ni watani zao kama Wasukuma.
 
katibu kata kumbilimbili anyi bia, katibu kata kumbilimbi anyi bia!!!!!!!!!!!!!!!!! Bonge ya songi usisikie hapo umepewa mgeni wa jirani binti umfikishe dar kutoka songea.

niwuya lepa mpaka nimala gembe x2
haiwezekani x3
mpaka nimala gembe. Patamu hapo we acha tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom